Ni kitu gani...?!

Haahaha MJ na MBU nawasoma...siku ya siku ushauri wangu utakua hakukusikiliza siku zile za "kitu gani...." hata leo ni kama unampigia mbuzi gitaa tu!!!

LOL mtetezi wangu Klorokwini tu hapa, we naona Mbu keshakulambisha 'limbwata' lake......hakuna fair justice hapa!!
Haya Mbu nitakutii, nitakiheshimu, nitakupenda katika shida, na raha; katika hali ya kuwa mzima na mgonjwa na hata katika udikteta na amri
Nitakuwa mke mwema kama mwanajeshi mtiifu ambaye huuliza sababu baada ya kutii amri!
(Eh mkuu nisaidie!)

Reactions: Mbu

Hahahahaha Mbu nadhani sie 'wa siku hizi' hatuna tu maadili mbona hawa walikuwepo hata zamani? Au ndo kwa vile zamani haikuwa na mambo ya 'shemeji naomba kukuona' wao ilikuwa unaita wote na mtuhumiwa akiwepo.............. unashtaki kama jamaa ni mvivu wa kula chausiku au la!!

Reactions: Mbu
Lizzy hiyo namba mbili kama mtu ametoka nje ya mahusiano ila bado anaonesha kukupenda na kukujali si unasamehe tu maisha yanasonga mbele?

Hivi unadhani nikikorofishana na huyo mtetezi wako ntakimbilia kwa nani kama sio MBU?!Kila mtu na wake aiseee...natengeneza mazingira ya kupendelewa!!Lolzz

Mbu endelea tu kumwaga nondo...yani ndo kwanza nimeweka miguu juu hapa!!

...lol...hhhahha, ninavyokupenda mw'mke wewe...ee mungu nisaidie, mpaka tufike huko tena thamani ya pendo
ilipotelea wapi? Be in peace, Mbu is following your commands....xoxoxox
Wapi The Finest na ile sredi yake ya Utii?...

...Mwj1 niache kwanza nile futari mtoto wa mwenzio.
Few more minutes to go....

Huku UK "Rebels" wanatupiana mawe na Police, leo Manchester....aheri yenu wenye Mgao wa Umeme
na Petroli. Am out mpaka baada ya Swalaat Taraweeh.

Lizzy hiyo namba mbili kama mtu ametoka nje ya mahusiano ila bado anaonesha kukupenda na kukujali si unasamehe tu maisha yanasonga mbele?
Nisamehe mpaka lini mpenzi??!Siku naanza kutumia dawa za kuongeza nguvu?!

kwenye ya 5-7 dada umeongea kweeeeeeeli..NAUNGA MKONO HOJA...

Hah........naruhusiwa kutoza mahari mwenyewe??................zikipitia kwa mshenga zitafika robo bana, nipe tu mie ntazifikisha kwa Mzee Mwanzo Mpango mwenyewe!!..............................iftar njema.
Afu waambie wakufungie monitor au uombe Ban ya masaa toka kwa Mods usijeharibu funga yako bure!! Maana wengine sie Wazaramo wa Kutu kabisa midomo hatujaiswaf hebu tusijetwiahwa dhambi bure..................

Reactions: Mbu
Hah........naruhusiwa kutoza mahari mwenyewe??................zikipitia kwa mshenga zitafika robo bana, nipe tu mie ntazifikisha kwa Mzee Mwanzo Mpango mwenyewe!!..............................iftar njema. Afu waambie wakufungie monitor au uombe Ban ya masaa toka kwa Mods usijeharibu funga yako bure!! Maana wengine sie Wazaramo wa Kutu midomo hatujaiswaf hebu tusijetwishwa dhambi bure..................

Nisamehe mpaka lini mpenzi??!Siku naanza kutumia dawa za kuongeza nguvu?!

najaribu kufikiria tunapovunja mahusiano kwa sababu hiyo halafu tunapata wapya ambao wanatoka kwenye mahusiano zaidi ya tuliowaacha. Je tutaendelea kuvunja na kuanza upya au tutavunja kwa mara ya kwanza na ya mwisho.

Hah.......Usitukumbushie machungu ya serikali hii yaani acheni tu.......................ninachokitamani kwa watanzania sikawii kuitwa muhujumu uchumi!! Yaache tu yapite.....

Kwahiyo tuvumilie tu mpaka siku ya kugaiwa vidonge kwasababu tunaogopa kuliacha “zimwi likujualo!“ ....,???!Dah

Hah.......Usitukumbushie machungu ya serikali hii yaani acheni tu.......................ninachokitamani kwa watanzania sikawii kuitwa muhujumu uchumi!! Yaache tu yapite.....

Sweetest....kuna kilichobaki cha kuhujumu nchi hii? Kama kipo nishirikishe mi ntajiunga maana mpango mzima sasa hivi ni kukomba.

Vinginevyo wewe jiinjoi tu na umpendaye hizi Kanuni za Lizzy mwachie kwa sasa....lol

Kwahiyo tuvumilie tu mpaka siku ya kugaiwa vidonge kwasababu tunaogopa kuliacha “zimwi likujualo!“ ....,???!Dah

hili jambo kadri ziku zinavyoenda linaonekana kuzidi. Na ubaya ni kwamba hatujui kama tutakapombilia ni salama.
Kama mwanaume amekucheat kwa miaka eg 4 bila kugundua (kwa sababu hakukuwa na mabadiliko) ukaja kugundua mwaka wa 5 na pengine na mtoto kashazaa nje, utamuacha ukatafute mwingine? Kama ni ishu ya vidonge hapo inawezekana ukaenda nywea mbele ya safari au ukawa umenusurika.

Yesuuu.....umenichekesha aisee daaah!

Lolzz....imebidi na mimi nicheke!!Ila kweli mwaya...samehe samehe hii mpaka siku umepanga mstari ndo hasira zinakupanda na majuto kibao!!

Aiseee siwezi kujitoa mhanga kwa kisingizio cha kwamba huko kwingine kwaweza kuwa kubaya zaidi!!!

Lolzz....imebidi na mimi nicheke!!Ila kweli mwaya...samehe samehe hii mpaka siku umepanga mstari ndo hasira zinakupanda na majuto kibao!!

Cheka tu mwaya....kuishi kwa matumaini mchezo!

Aiseee siwezi kujitoa mhanga kwa kisingizio cha kwamba huko kwingine kwaweza kuwa kubaya zaidi!!!

Lizzy,

Hongera sana kwa kuonesha jinsi unavyoyathamini maisha yako..Ila naomba umsome Kloroquine (CQ) aliposema hivi:

"...unaweza kuwa unajadili maisha ya gerezani (a.k.a lupango) ukiwa uraiani"

Na pia akasema hivi (huyu huyu CQ),

"..Usitukane mama ntilie kama huna uwezo wa kula hotelini"

Naamini some la leo limeeleweka ingawa tamati bado kufika!

Kwa habari ya uzinzi ndoa yaweza vunjwa..dada vigezo umevipanga vizuri..ili kuepuka yoote haya huyo mwenzi kabla ya ndoa ni vizuri umchunguze ktk; anahofu ya Mungu?,ni ideal kwako?,umri na elimu je?,mahusiano na wazazi wake je? nk..lizzy bila ya vetting kwa watarajiwa..ndo malalamiko haya yasiyoisha ktk ndoa/mahusiano..

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…