klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
wewe hii inakusumbua?Interesting....
I can‘t feel a thing....
Lizzy My dear,
1. Hakuna kitu KINACHOIMARISHA MAHUSIANO kama kuchapana makofi "once and a while"
2. Hakuna kitu KINACHODUMISHA NDOA kama "kutembea nje ya ndoa"
3. Hakuna kitu KINACHODHIHIRISHA U-BABA kama "kumkaripia mke wako"
4. Hakuna kitu KINACHOLETA USTAHIMILIVU katika mausiano kama "kutokujali"
5. Hakuna kitu KINACHOLETA UENDELEVU katika mahusiano kama "ubinafsi"
6. Ulalalmikaji ni ISHARA ya "KUTAFUTA" opinion ya mwenza wako!
7. Kutokujiamini ni "relative term"!
Jioni njema nawahi kufuturu -
Wivu nao uwe na kiasi....sio maswali ya kuoneana wivu mpaka nyumbani kunakua hakukaliki...kila siku kutoana ngeu...kunyimwa hata kuwasiliana na ndugu na mambo kama hayo!!Apo Bottom line ni ukisalitiwa ni kuachana hamna mjadala.
Hapo kwenye namba saba, vp ishu ya wivu wa kimapenzi,, sio dalili ya kupendwa?
hakuna cheating poa
a lot depends with reasonsactually kuna aina moja ya cheating ambayo mimi huwa hainisumbui kabisa
inaitwa emotional cheating......
Mdogo wangu,
Ukishavaa jezi na kuingia uwanjani, kisha mechi ikaanza utayajua yote. Hakuna nyota utaacha kuona...Sasa kama utaendelea kuona nyota za ndani au unataka kujaribu za nje hilo ni jambo jingine. Ila lisilopingika ni kwamba cha moto utakutana nacho tu ingawa si kila siku...Ni hali ya kawaida tu ya maisha...Leo mzima wa afya, kesho waumwa na kulazwa kwa daktari!!
Kuna jibaba (kabla kuoa) nakumbuka lilikuwa na mikwala sana kitaani kwamba siku likimfumania waifu wake basi litauwa na ndio mwisho wa mahusiano:
masiku yalipita na akaowa, Mungu si ronaldo, jamaa kamfumania waifu wake laivu na cha kusikitisha aliwaambia waifu wake na jamaa yaishe palepale lakini wasipakazie itakuwa aibu kwake. Siku zimekwenda tena stori imevuja na jamaa mhusika kaiskia lakini mpaka leo anaishi na huyo mdada! tena majuzi niliwafuma shopping wananunua maskin tight na raba za nike!
Ujumbe: Ustukane mama ntilie wakati hauna uwezo wa kula hoteli
Nimemaliza
...khaaa?! cheating is cheating bana...hakuna justification ya 'wizi!'
hata hiyo emotional cheating mimi inasumbua,...inajenga wivu mbaya
kuliko physical cheating.
...khaaa?! cheating is cheating bana...hakuna justification ya 'wizi!'
hata hiyo emotional cheating mimi inasumbua,...inajenga wivu mbaya
kuliko physical cheating.
hahahaaaaaa unaweza haya coz.... mvivu, unaweza fanya usafi au kupika mwenyewe, mbea,ili akuletee habari nyingi za mtaani coz upo bize maybe, kunenepa ndio ugonjwa wako the boss, hapo huvumiliiii kitu, kununa ili upate mwanya wa kwenda kwa havijawa na ukichelewa huulizwi...... nimepatia sijapatiamimi naweza kuvumilia mwanamke mvivu,mwenye kupenda umbea,anaejiachia na kunenepanepa,mwenye kununa bila sababu,lol
Kuna jibaba (kabla kuoa) nakumbuka lilikuwa na mikwala sana kitaani kwamba siku likimfumania waifu wake basi litauwa na ndio mwisho wa mahusiano:
masiku yalipita na akaowa, Mungu si ronaldo, jamaa kamfumania waifu wake laivu na cha kusikitisha aliwaambia waifu wake na jamaa yaishe palepale lakini wasipakazie itakuwa aibu kwake. Siku zimekwenda tena stori imevuja na jamaa mhusika kaiskia lakini mpaka leo anaishi na huyo mdada! tena majuzi niliwafuma shopping wananunua maskin tight na raba za nike!
Ujumbe: Ustukane mama ntilie wakati hauna uwezo wa kula hoteli
Nimemaliza
Kloro embu muuzie Kanumba
hii story...somo limeniingia!!!
hahahaaaaaa unaweza haya coz.... mvivu, unaweza fanya usafi au kupika mwenyewe, mbea,ili akuletee habari nyingi za mtaani coz upo bize maybe, kunenepa ndio ugonjwa wako the boss, hapo huvumiliiii kitu, kununa ili upate mwanya wa kwenda kwa havijawa na ukichelewa huulizwi...... nimepatia sijapatia
hebu tu define emotional cheating kwanza
mimi naamiiini karibu wote humu tume cheat kwa namna hiyo so many times
Klorokwin, ina maana wanaume wanaruhusiwa ku cheat kweli? sasa baioloji zenu zikichachamaa si muende kwa wake zenuKwa mwanaume cheating inaweza ikawa na excuse kwasababu biology iko upande wetu na inatulinda (waliosoma mzumbe itakuwa washanielewa hapa), lakini kwa wanawake cheating haina excuse bana!