klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Kuna jibaba (kabla kuoa) nakumbuka lilikuwa na mikwala sana kitaani kwamba siku likimfumania waifu wake basi litauwa na ndio mwisho wa mahusiano:
masiku yalipita na akaowa, Mungu si ronaldo, jamaa kamfumania waifu wake laivu na cha kusikitisha aliwaambia waifu wake na jamaa yaishe palepale lakini wasipakazie itakuwa aibu kwake. Siku zimekwenda tena stori imevuja na jamaa mhusika kaiskia lakini mpaka leo anaishi na huyo mdada! tena majuzi niliwafuma shopping wananunua maskin tight na raba za nike!
Ujumbe: Ustukane mama ntilie wakati hauna uwezo wa kula hoteli
Nimemaliza