Ni kitu gani...?!

Ni kitu gani...?!

Kuna jibaba (kabla kuoa) nakumbuka lilikuwa na mikwala sana kitaani kwamba siku likimfumania waifu wake basi litauwa na ndio mwisho wa mahusiano:

masiku yalipita na akaowa, Mungu si ronaldo, jamaa kamfumania waifu wake laivu na cha kusikitisha aliwaambia waifu wake na jamaa yaishe palepale lakini wasipakazie itakuwa aibu kwake. Siku zimekwenda tena stori imevuja na jamaa mhusika kaiskia lakini mpaka leo anaishi na huyo mdada! tena majuzi niliwafuma shopping wananunua maskin tight na raba za nike!

Ujumbe: Ustukane mama ntilie wakati hauna uwezo wa kula hoteli

Nimemaliza
 
Apo Bottom line ni ukisalitiwa ni kuachana hamna mjadala.

Hapo kwenye namba saba, vp ishu ya wivu wa kimapenzi,, sio dalili ya kupendwa?
 
Lizzy My dear,

1. Hakuna kitu KINACHOIMARISHA MAHUSIANO kama kuchapana makofi "once and a while"

2. Hakuna kitu KINACHODUMISHA NDOA kama "kutembea nje ya ndoa"

3. Hakuna kitu KINACHODHIHIRISHA U-BABA kama "kumkaripia mke wako"

4. Hakuna kitu KINACHOLETA USTAHIMILIVU katika mausiano kama "kutokujali"

5. Hakuna kitu KINACHOLETA UENDELEVU katika mahusiano kama "ubinafsi"

6. Ulalalmikaji ni ISHARA ya "KUTAFUTA" opinion ya mwenza wako!

7. Kutokujiamini ni "relative term"!

Jioni njema nawahi kufuturu -

Dah!!

Haya bana....asante BE kwa hivyo vifungua macho!!!
 
Apo Bottom line ni ukisalitiwa ni kuachana hamna mjadala.

Hapo kwenye namba saba, vp ishu ya wivu wa kimapenzi,, sio dalili ya kupendwa?
Wivu nao uwe na kiasi....sio maswali ya kuoneana wivu mpaka nyumbani kunakua hakukaliki...kila siku kutoana ngeu...kunyimwa hata kuwasiliana na ndugu na mambo kama hayo!!
 
wewe hii inakusumbua?<br />
can you forgive this one?????????

Kama simtoshelezi kwanini yupo na mimi?!Bora tuamue/kubaliane kabisa kwamba mahusiano yetu sio exclusive kila mmoja ajue!
 
Mdogo wangu,

Ukishavaa jezi na kuingia uwanjani, kisha mechi ikaanza utayajua yote. Hakuna nyota utaacha kuona...Sasa kama utaendelea kuona nyota za ndani au unataka kujaribu za nje hilo ni jambo jingine. Ila lisilopingika ni kwamba cha moto utakutana nacho tu ingawa si kila siku...Ni hali ya kawaida tu ya maisha...Leo mzima wa afya, kesho waumwa na kulazwa kwa daktari!!

uuuhhhhffff! haya kakaangu....naona umeamua kuipa 'vitisho' kabisa sasa!

lakini kama ni kawaida tu ya maisha basi ume neutralize 'vitisho'
 
Kuna jibaba (kabla kuoa) nakumbuka lilikuwa na mikwala sana kitaani kwamba siku likimfumania waifu wake basi litauwa na ndio mwisho wa mahusiano:

masiku yalipita na akaowa, Mungu si ronaldo, jamaa kamfumania waifu wake laivu na cha kusikitisha aliwaambia waifu wake na jamaa yaishe palepale lakini wasipakazie itakuwa aibu kwake. Siku zimekwenda tena stori imevuja na jamaa mhusika kaiskia lakini mpaka leo anaishi na huyo mdada! tena majuzi niliwafuma shopping wananunua maskin tight na raba za nike!

Ujumbe: Ustukane mama ntilie wakati hauna uwezo wa kula hoteli

Nimemaliza

Kloro embu muuzie Kanumba
hii story...somo limeniingia!!!
 
...khaaa?! cheating is cheating bana...hakuna justification ya 'wizi!'
hata hiyo emotional cheating mimi inasumbua,...inajenga wivu mbaya
kuliko physical cheating.

Kwa mwanaume cheating inaweza ikawa na excuse kwasababu biology iko upande wetu na inatulinda (waliosoma mzumbe itakuwa washanielewa hapa), lakini kwa wanawake cheating haina excuse bana!
 
...khaaa?! cheating is cheating bana...hakuna justification ya 'wizi!'
hata hiyo emotional cheating mimi inasumbua,...inajenga wivu mbaya
kuliko physical cheating.

hebu tu define emotional cheating kwanza
mimi naamiiini karibu wote humu tume cheat kwa namna hiyo so many times
 
mimi naweza kuvumilia mwanamke mvivu,mwenye kupenda umbea,anaejiachia na kunenepanepa,mwenye kununa bila sababu,lol
hahahaaaaaa unaweza haya coz.... mvivu, unaweza fanya usafi au kupika mwenyewe, mbea,ili akuletee habari nyingi za mtaani coz upo bize maybe, kunenepa ndio ugonjwa wako the boss, hapo huvumiliiii kitu, kununa ili upate mwanya wa kwenda kwa havijawa na ukichelewa huulizwi...... nimepatia sijapatia
 
Kuna jibaba (kabla kuoa) nakumbuka lilikuwa na mikwala sana kitaani kwamba siku likimfumania waifu wake basi litauwa na ndio mwisho wa mahusiano:

masiku yalipita na akaowa, Mungu si ronaldo, jamaa kamfumania waifu wake laivu na cha kusikitisha aliwaambia waifu wake na jamaa yaishe palepale lakini wasipakazie itakuwa aibu kwake. Siku zimekwenda tena stori imevuja na jamaa mhusika kaiskia lakini mpaka leo anaishi na huyo mdada! tena majuzi niliwafuma shopping wananunua maskin tight na raba za nike!

Ujumbe: Ustukane mama ntilie wakati hauna uwezo wa kula hoteli

Nimemaliza

...Barking Dogs Never Bite! ...lol....usimwamini sana huyo, siku ya siku anaweza fanya tendo mkashangaa.
Ni kiwango tu cha uvumilivu.
 
Kloro embu muuzie Kanumba
hii story...somo limeniingia!!!

Sitanii ujue! mimi ukiniona nimechangia sredi ya Lizzy basi ujue niko serious vibaya. halaf hata mapigo yangu ya moyo yanaongezeka nikichangia sredi zako! Dah! kuna kila dalili kuwa nitakufa kijana!
 
hahahaaaaaa unaweza haya coz.... mvivu, unaweza fanya usafi au kupika mwenyewe, mbea,ili akuletee habari nyingi za mtaani coz upo bize maybe, kunenepa ndio ugonjwa wako the boss, hapo huvumiliiii kitu, kununa ili upate mwanya wa kwenda kwa havijawa na ukichelewa huulizwi...... nimepatia sijapatia

kupika naweza ajiri house girl/mpishi
kununa nipate sababu ya kumbembeleza
kunenepa yes,wowowo litaongezeka

halafu wavivu huwa hata kutoka toka hawapendi
so hakusumbui kwenda out,
kutwa yuko ndani analala lala
 
hebu tu define emotional cheating kwanza
mimi naamiiini karibu wote humu tume cheat kwa namna hiyo so many times

Quoted;

There are several warning signs of an emotional affair.
  • You are withdrawing from your spouse.
  • You are preoccupied and daydream about your friend more and more.
  • You are not interested in being intimate with your spouse, either emotionally or sexually.
  • The amount of time you and your spouse spend together is less.
  • When confronted about the apparent emotional affair, you respond, "We're just friends."
  • You find yourself anticipating when you can communicate or be with your friend again. Alone time together is important to you.
  • You are sharing your thoughts, feelings, and problems with your friend instead of your spouse.
  • You find reasons to give your friend personal gifts.
  • Your friend seems to understand you better than your spouse does.
  • You are keeping your friendship a secret from your spouse
 
Kwa mwanaume cheating inaweza ikawa na excuse kwasababu biology iko upande wetu na inatulinda (waliosoma mzumbe itakuwa washanielewa hapa), lakini kwa wanawake cheating haina excuse bana!
Klorokwin, ina maana wanaume wanaruhusiwa ku cheat kweli? sasa baioloji zenu zikichachamaa si muende kwa wake zenu
 
Back
Top Bottom