Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipoweka hiyo Kanga tu akili zote zimenipotea! hivi tunajadili nini vile? halaf sjui swaumu haijatenguka?
Khaaaa! haya ndio nilokuwa namueleza gaga!
Mbu kwa picha nakuaminia...naona ushamzuzua Kloro tayari!!
lol....kafanana fanana na Soulmate wangu, ila ujumbe kwenye khanga umeuona lakini?
"Mke ni mgomba, palilia...!" Swaumu bado inaswihi,...ha ha ha..
...Lizzy usijali bana, najaribu kukazia mistari kwa Klorokwini aelewe haya mambo hayana formula kusema
Mke aki cheat ndio kosa, mume inakubalika sababu ya baiyolojia...
All in all, mapenzi na kupendana bana. Mashaka ni pale unapopenda kwa roho yote, lakini nunda haliona wala
halisikii, ...halijui thamani ya kupendwa wala kuheshimiwa...na hata 'unapolipiga na chini,' bado linakung'ang'ania kama
luba uwe msukule wake,...Mapenzi gani hayo?
Hebu nyie wanawake wenzangu mnisaidie kidogo
Hivi hicho kipigo au usaliti ili uqualify kuteminate mkataba na mpenzio vinakuwaje, kwa sababu mie ninajidanganya kuwa (na uzezeta wangu wa mapenzi mwe) kibao kimoja/kipigo kiasi (kutegemea na kosa hasa na kiwango cha kuzuia hacra alichonacho mtu - na degree of provocation) haiumi na haikwalifai kumwacha mpenzi. Kuna scenerio ambazo hata mie some times huwa ninakwanzwa to the extent najikuta nimemporomoshea mijituc ya kufa mtu afu baadae najuta but si mimi ni kiwango changu cha kudhibiti hacra zangu kiko chini (na hii inachangiwa na vitu vingi mfano malezi, n.k) sasa najaribu kufikiria katika maisha yetu mie na mwandani hivi inaweza iisitokee siku kweli kweli tukachafuana kiasi cha kutishia amani??
Au wenzangu nyie mmejaliwa kuwa na mbinu za kuwa always careful not to trigger your spouses' temper na kama ndo kama mie reflex actions ziko karibu kabla ya kujuta!?
Usaliti ili uwe saliti unaostahiki adhabu ya kuunyima moyo wako furaha ya kuwa na uliyemridhia ni uwe wa kiwango gani? maana kuna zile zinaitwa One- nite stand!! ukimfumania on that night?? kuna za nyumba ndogo ambako anajenga kabisa kibanda au sijui no strigns attached kuna na hii inayokuja ya Friendship with benefits sijui.......ipi hasa maana naona leo Lizzy umeamua kunivua nguo mtu mzima hadharani leo!!
Mbu kumbe Soulmate wako mdhungu!! hongera LOL
Hahhh eti Nunda linakung'ang'ania!! hahahah haya majina jamani mtatufanya tuogope kuwaacha kwa kweli...........I cant imagine Ex- wangu ananiita majina gani sasa hivi loh
...enhe! mjibuni mwenzenu anusurike na hayo makofi ya kujitakia kwa hako 'kalomo lomo kake',...lohhh?
...hhhahahhhaa!
Mwj1 hebu nifundishe matusi unayotumia bana...lol! Kuna matusi mengine hayaumi kihiiiivyo,
ref my earlier post....-majaaliwa ya uliyeoana naye anapojigeuza 'mdoli' wa kukuchekeshea-
lol....kafanana fanana na Soulmate wangu, ila ujumbe kwenye khanga umeuona lakini?
"Mke ni mgomba, palilia...!" Swaumu bado inaswihi,...ha ha ha..
Mbu kwa picha nakuaminia...naona ushamzuzua Kloro tayari!!
Mbu umeniacha hoi...kweli mapenzi kazi!!
MJ1 chukua kanga mama ujifunike...lolzz!!
Hamna ubaya bwana kuwa muwazi hivyo maan inasaidia mtu kukuelewa.
Kuhusu maswali uliyouliza nadhani kila mtu ana namna yake ya kuamua kwamba IMETOSHA!! Kuna watu hata kumtisha tu utampiga inakua tabu!Ila ngoja niongelee kwa upande wangu...kukasirishana kupo...kutupiana maneno na kupandishana hasira nako hakuzuiliki.Ila inabidi wote tujifunze namna ya kubebana na hizo hasira pia namna za kuzifikisha kwa mhusika bila kuongeza matatizo juu ya matatizo!!Tuseme mtu nimempandisha mwenzangu hasira akanizaba kibao naweza kusamehe given that it‘s the first time na pia ntazingatia kosa langu na kama nilihusika kum-provoke au la!Ila ikatokea tena mara ya pili baada ya kuahidi hatorudia inabidi nianze kujifikiria mara mbili mbili maana ipo siku anaweza hata akaniumiza kwa kisingizio hicho hicho cha "hasira zilinizidia".Then what...?!Aniuguze nikipona arudie tena?!Hapana...inabidi nihakikishe hicho kitendo hakitajirudia!!
Kuhusu uaminifu huo nao ni mtihani mwingine...maana unaweza kumkamata mtu na text/simu/email kabla hajaduu ze needful...je hiyo inapunguza kiasi cha uaminifu ntakachopoteza kwake?!Sidhani...maana mtu akishaanza hivyo maana yake ni muda ulikua haujafika yeye kukamilisha azma yake.Je ntasamehe ikiwa nimegundua akiwa kwenye hatua hizo za mwanzo?!Maybe!!Baada ya kujua kilichomsukuma kwenye uelekeo huo na kupima uzito wa madai yake.Na pia kwa kuona kwamba anajutia uamuzi wake na akaahidi hatorudia...ila itakapotokea siku nyingine nikagundua ana mpango ule ule au tayari ameshakamilisha ndio nasi tena.Hamna haja ya kupeana maumivu ya moyo kila mara...maana kurudia kutadhihirisha kwamba sio mkweli kwangu...sio mwaminifu tena kwa makusudi kabisa..haheshimu wala kujali hisia zangu maana tayari anajua kitendo kile kitaniumiza pindi ntakapojua....na mengineyo!!!
Yaani we acha tu Mbu mie bwana huwa nina matuc yangu ambayo nayatoaga kwa uchungu sana sasa inategemea na mhucka mwenyewe anavyolipokea (akiwa katikati ya hacra-LOL sijui ndo namtetea?!) mf. We mwanaume gani lakini usiyejali hisia za mpenzi wako?? hapo anawezaamua asisikilize mwisho wa sentensi akachagua kusikia tu we mwanaume gani..............
Hahahaha LOL Klorokwini usijemfanya Mbu akawa anakufa na tai shingoni.......anaudhiwa but anaogopa kugombana asijejikuta anamleta Soulmate wake kwako apate 'Semina elekezi' hahahah kwa vitendo!hehehe kama yule ndo soulmate wenyewe basi naomba mkigombana umlete kwangu nimsuluhishe, lol,
Mke kweli ni mgomba lakini kwa masharti ya Lizzy naona karibuni atakuwa mchongoma (unachoma)
Haloooo halooooo....
Mtajijuuuu kama kumweka Kloro kiganjani nimweka maana hana ujanja kwangu!!Alooo!
Phweeeeeeeeeeeeeeee!! Mamito huwezijua ni kiasi gani nimekuwa relieved...........nlishajua kuwa nina kilema cha kupenda nimtafute tabibu!! Aksante Mama wa Kwanza ubarikiwe sana!
Haya tuendelee na mjadala sasa, hiyo khanga ya Mbu na jumbo langu hili la Tembo hata nusu upande halifuniki!!
Deka Laaziz deka.........furahia masha katika mwanga bora mamii wala hugombwi hahah.............Kloro shem wangu hongera!Haloooo halooooo....
Mtajijuuuu kama kumweka Kloro kiganjani nimweka maana hana ujanja kwangu!!Alooo!
Hahahaha LOL Klorokwini usijemfanya Mbu akawa anakufa na tai shingoni.......anaudhiwa but anaogopa kugombana asijejikuta anamleta Soulmate wake kwako apate 'Semina elekezi' hahahah kwa vitendo!
hehehe tunaomba michango ya harusi wajameni!
Kama hamjafahamu kinachoendelea hamfai kuitwa great thinkers