kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Sasa ndiyo shida Boss wangu- Ninakuhakikisha ndicho kinachoendelea sasa hivi! Nilikuwa safarini Nairobi kipindi kimoja na nikaambiwa mh SSH amefika Kenya. Kwenye Ndege Bussiness class nikamuona Rostam Aziz. Kila safari ya Rais na shughuli yoyote ni deal ya wafanyabiashara fisadi. Sasa hivi Waziri Salum ndiye kuwadi no.1 moja wa SSH kwa matajiri. Zuhura aka Venus Nyote alikuwa haingiliki na hawezi kupendwa na viongozi mafisadi hata siku moja! akatenguliwa!Nadhani mnakikumbuka kisa cha mturuki aliye sema serikali yote kaiweka mfukoni wakati wa utawala wa Mwl nyerere,
Matokeo ya jambo hilo ni nchi kukithiri kwa Rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,dili chafu , madawa ya kulevya ,utekaji na mauaji ambayo wakati mwingine yanaweza yakawa si utekaji au mauaji ya kisiasa nk.
Kiongozi imara na mwenye maono na taifa lake, kamwe hato kubali mitego au ushawishi wowote au kwa namna yeyote ile kuifungamanisha serikali yake na matajiri na wafanyabiashara, bali serikali itasimama kama serikali na itatekeleza majukumu yake yote kama serikali inayo jisimamia yenyewe.
Tatizo siyo serikali tatizo ni jamii, hadi hapo mafuvu yatakapo rudishiwa akiliNadhani mnakikumbuka kisa cha mturuki aliye sema serikali yote kaiweka mfukoni wakati wa utawala wa Mwl nyerere,
Matokeo ya jambo hilo ni nchi kukithiri kwa Rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,dili chafu , madawa ya kulevya ,utekaji na mauaji ambayo wakati mwingine yanaweza yakawa si utekaji au mauaji ya kisiasa nk.
Kiongozi imara na mwenye maono na taifa lake, kamwe hato kubali mitego au ushawishi wowote au kwa namna yeyote ile kuifungamanisha serikali yake na matajiri na wafanyabiashara, bali serikali itasimama kama serikali na itatekeleza majukumu yake yote kama serikali inayo jisimamia yenyewe.
Sio kweli muulize Jack Ma kilichomkuta ChinaSerikali zote duniani ziko mifukoni mwa Matajiri kasoro Korea Kaskazini tu 😂
Jamii imefanyaje? Serikali ikishakuwa ya kidikteta jamii inaweza kufanyaje?Tatizo siyo serikali tatizo ni jamii
Hao China ndio hawana lolote 😂Sio kweli muulize Jack Ma kilichomkuta China
Jamii yetu ni ya kanyaga twende, yaani jamii ambayo haiwezi kuchakata mawazo chanya na hasiJamii imefanyaje? Serikali ikishakuwa ya kidikteta jamii inaweza kufanyaje?
Wale sio CCM ya RostamHao China ndio hawana lolote 😂
Kabsa mzee china sio ya mchezo, na huwezi kutorokaWale sio CCM ya Rostam
Jack Ma alijaribu moto ukamuunguza
Mafuvu hayawezi kurudishiwa akili tanzania sahau hilo jamboTatizo siyo serikali tatizo ni jamii, hadi hapo mafuvu yatakapo rudishiwa akili
Mafuvu hayawezi kurudishiwa akili tanzania sahauTatizo siyo serikali tatizo ni jamii, hadi hapo mafuvu yatakapo rudishiwa akili
Yes alikuwa tajiri wa kigirikiMgiriki tajiri>Askofu Macarius>Nyerere akasema simuachii hata kidogo mshenzi huyu!
Jamii yetu ni ya kanyaga twende, yaani jamii ambayo haiwezi kuchakata mawazo chanya na hasi
Mkihoji kuhusu tozo mkiambiwa nendeni Burundi mnakaa kimyaa, watu wakipotezwa mnakaa kimyaa pia, mnasubiri tume ilete majibu kwa muda usiojulikana, (expecting results from what you know)
Sawa jamii iliyo nyamaza, itaendelea kunyamaza hadi lini?, je madhara ya kunyamaza yanajulikana
Nafurahi kwamba umelielewa, in reality though, it is never too late in lifeMafuvu hayawezi kurudishiwa akili tanzania sahau
Yes alikuwa tajiri wa kigiriki
Mkuu mfumo wa kibepari ndio ulivyo, serikali nyingi dunian huwa zinaongwa na wafanya biashara wakubwa, hawa maraisi ni geresha tu, kujua haya mpaka uwe na jicho la tatuNadhani mnakikumbuka kisa cha mgiriki aliye sema serikali yote kaiweka mfukoni wakati wa utawala wa Mwl nyerere,
Matokeo ya jambo hilo ni nchi kukithiri kwa Rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,dili chafu , madawa ya kulevya ,utekaji na mauaji ambayo wakati mwingine yanaweza yakawa si utekaji au mauaji ya kisiasa nk.
Kiongozi imara na mwenye maono na taifa lake, kamwe hato kubali mitego au ushawishi wowote au kwa namna yeyote ile kuifungamanisha serikali yake na matajiri na wafanyabiashara, bali serikali itasimama kama serikali na itatekeleza majukumu yake yote kama serikali inayo jisimamia yenyewe.
Nadhani mnakikumbuka kisa cha mgiriki aliye sema serikali yote kaiweka mfukoni wakati wa utawala wa Mwl nyerere,
Matokeo ya jambo hilo ni nchi kukithiri kwa Rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,dili chafu , madawa ya kulevya ,utekaji na mauaji ambayo wakati mwingine yanaweza yakawa si utekaji au mauaji ya kisiasa nk.
Kiongozi imara na mwenye maono na taifa lake, kamwe hato kubali mitego au ushawishi wowote au kwa namna yeyote ile kuifungamanisha serikali yake na matajiri na wafanyabiashara, bali serikali itasimama kama serikali na itatekeleza majukumu yake yote kama serikali inayo jisimamia yenyewe.
Haya mambo yanajirudia rudia! Kwa wale wahenga mtakumbuka first lady mmoja Sitti mwinyi aliyejirikisha sana na ufisadi na wizi wa dhahabu! Mtakumbuka kuwa tajiri mmoja Gulamali alikuwa anatembelea ikulu na kusema anaenda kumsalimia shemegi yake yaani mzee mwinyi.Nadhani mnakikumbuka kisa cha mgiriki aliye sema serikali yote kaiweka mfukoni wakati wa utawala wa Mwl nyerere,
Matokeo ya jambo hilo ni nchi kukithiri kwa Rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,dili chafu , madawa ya kulevya ,utekaji na mauaji ambayo wakati mwingine yanaweza yakawa si utekaji au mauaji ya kisiasa nk.
Kiongozi imara na mwenye maono na taifa lake, kamwe hato kubali mitego au ushawishi wowote au kwa namna yeyote ile kuifungamanisha serikali yake na matajiri na wafanyabiashara, bali serikali itasimama kama serikali na itatekeleza majukumu yake yote kama serikali inayo jisimamia yenyewe.
KWa hiyo nini maoni yako ama unawaambiaje matajiri wa TZ kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025?Serikali zote duniani ziko mifukoni mwa Matajiri kasoro Korea Kaskazini tu 😂