Ni kitu kibaya sana tena sana kuiweka serikali rehani kwa matajiri na wafanya biashara

Ni kitu kibaya sana tena sana kuiweka serikali rehani kwa matajiri na wafanya biashara

KWa hiyo nini maoni yako ama unawaambiaje matajiri wa TZ kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025?
Shujaa Magufuli: Mzee Mengi huyu hapa aliniita 2015 na kutaka kunipa Fedha za kufanyia kampeni, nikamkatalia

Shujaa 😂😂😂
 
Nadhani mnakikumbuka kisa cha mgiriki aliye sema serikali yote kaiweka mfukoni wakati wa utawala wa Mwl nyerere,

Matokeo ya jambo hilo ni nchi kukithiri kwa Rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,dili chafu , madawa ya kulevya ,utekaji na mauaji ambayo wakati mwingine yanaweza yakawa si utekaji au mauaji ya kisiasa nk.

Kiongozi imara na mwenye maono na taifa lake, kamwe hato kubali mitego au ushawishi wowote au kwa namna yeyote ile kuifungamanisha serikali yake na matajiri na wafanyabiashara, bali serikali itasimama kama serikali na itatekeleza majukumu yake yote kama serikali inayo jisimamia yenyewe.
Tutajie mfano wa nchi iliyoendelea lkn matajiri hawana nguvu
 
Back
Top Bottom