Pre GE2025 Ni kituko gani umekiona kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025?

Pre GE2025 Ni kituko gani umekiona kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Tumeanza kuona vituko, kuelekea uchaguzi mkuu 2025.

Huko Jimbonibkwako hali ikoje?

IMG-20240515-WA0017.jpg
IMG-20240515-WA0015.jpg
1715752290603.png
IMG-20240515-WA0019.jpg

 

Attachments

  • IMG-20240515-WA0016.jpg
    IMG-20240515-WA0016.jpg
    52 KB · Views: 3
Muda wa wanyonge kupata pombe za buree, kanga na t-shirt. Watazivaa mpka uchaguzi wa 2030
 
Makonda ni mtu, japo mtu hakosi kasoro
 
Kutembelea sangoma kumeanza, si umesikia wenye ulemavu wa ngozi wameanza kuwindwa?
 
Sisiemu hawana cha kuwaambia wananchi zaidi yakujivunia TOZO
 
Back
Top Bottom