Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

Unaongelea viumbe gani?,kuna aina kuu mbili za viumbe (1)Viumbe hai sifa kuu ya viumbe hawa ni uwezo wa kufa na (2)viumbe visivyo hai,sifa kuu ya viumbe hawa ni kutokufa.kwiyo swali lako jibu lake la weza kuwa JIWE ambacho ni kiumbe ambacho hakikufi.
 
mkuu ni kiumbe hai
 
Hahahaha,hakikufi?hakifi
 
Unauliza kiumbe au kiumbe hai? hata Tanzanite ni kiumbe japokuwa sio kiumbe hai
 
images
Z
huyu huwa hafi atadunda tu mpaka siku ya kiama.
kama yule jamaa anayetangatanga ulimwenguni kwa kujificha kila akijaribu kujiuwa inashindikana kwa sasa ana umri wa miaka 2014 na miezi 9/
alimdhihaki nabii fulani akaambiwa hata kufa mpaka siku ya hukumu.
mwingine ni farao yeye mwili wake hautaharibika mpaka siku ya hukumu,mwili wake upo tangu enzi za musa.

Back
Top Bottom