Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
viruses
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amoeba hafi, nakumbuka kwa namna anavozaliwa...ni kwamba celi inagawanyika kadhalika na mwili unagawanyika. Hivyo kufanya kuwa ngumu kumtambua daughter and parent ni yupi, hivyo amoeba hafi kwa sababu ya umri, labda ajali
amoeba hafi, nakumbuka kwa namna anavozaliwa...ni kwamba celi inagawanyika kadhalika na mwili unagawanyika. hivyo kufanya kuwa ngumu kumtambua daughter and parent ni yupi, hivyo amoeba hafi kwa sababu ya umri, labda ajali
bacteriawakuu,
nina kahoja hapa, ni hivi kuna tetesi kuwa kuna kiumbe hapa duniani ambacho kinaishi milele pasipo kufa.
Je, ni kiumbe gani hicho?
Mnaokijua tuambieni
Ni"ROHO"tu pekee ndicho kiumbe kinachoishi au kitakacho ishi milele hapa dunia ,kama mlikuwa hamjui ,CHUKUA HIYO.
Ni"ROHO"tu pekee ndicho kiumbe kinachoishi au kitakacho ishi milele hapa dunia ,kama mlikuwa hamjui ,CHUKUA HIYO.
Kama alivyosema True soul ni Roho peke ndio isiyokufa hata kama itaugua au kupata ajali haitakufa milele.
Yesu alipaa...hakufa
funza kwa sababu anatoa funza mwenzie
Wakuu,
Nina kahoja hapa, ni hivi kuna tetesi kuwa kuna kiumbe hapa duniani ambacho kinaishi milele pasipo kufa.
Je, ni kiumbe gani hicho?
Mnaokijua tuambieni
Yesu alipaa...hakufa
lakini alikufa na tunaambiwa baadaye alifufuka.
kwa hiyo dhana inabaki palepale KUZALIWA NA KUFA.