Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

Hili ndio Jibu sahihi
nami naamini hivyo ndio maana nimeandka ktk maelezo yangu kuwa manesi polisi huwa wanaishi sema wanakuwa ktk roho hawaonekani na watu wapenzi huonana baada ya kifo na kuishi kama duniani sema mnakuwa kama ktk ndoto lakini kubwa Mungu huturudisha duniani kama tunadondoshwa hivi mfano wa mwanzo wa pich ya mr.bean kuna fumbo kubwa sana pale anapoonekana amedondoka sema unazaliwa lakini ukifika umri wa miaka mitatu au minne unaweza hisi umebadilishwa kabiswa,kifupi weupe wanaweza kujibadili maumbo kama malaika chukua hiyoooo
 
Wakuu,

Nina kahoja hapa, ni hivi kuna tetesi kuwa kuna kiumbe hapa duniani ambacho kinaishi milele pasipo kufa.

Je, ni kiumbe gani hicho?

Mnaokijua tuambieni

Kilicho roho hakifi bali kilicho mwili hufa, roho hubeba milango ya ufahamu yenye nguvu zaidi na kiwango cha juu cha utambuzi.
 
Kauliza 'kiumbe' 'kisichokufa' mnaleta longolongo mara amoeba mara majini na dhahania za miaka 2014 na miezi 9 leteni majibu kwa mujibu wa swali!!
 
Viumbe hai wote wanakufa sema wapo ambao wanaweza ishi kwa miaka mingi sana hata zaidi ya elfu moja.
Wa kwanza ni Turritopsis nutricula jellyfish huyu yeye anauwezo wa kujirudisha kua mdogo then akakua tena, process inaweza kujirudia maradufu, lakini kinachoweza kumuua ni vitu kama magonjwa au predators. Wa pili wanaitwa Antarctic Sponge, hawa wenyewe wako kwenye maji wanaweza ishi miaka hata zaidi ya 1000. Wanyama wengine kama kobe wanaweza vuka miaka 200. Ila still vyote vinakufa
 
Ubora WA Tanzania utaujua tu ,wanajadili vitu non sense kabisa
 
Kipaumbele cha kwanza hadi cha tatu ni elimu.

Hapo kipaumbe ni kimoja tu, huwezi kusema vitatu, ukiwa unataja kitu kimoja, ghiriba za siasa zile zisikusumbue ndugu yangu. mfano mtu aulizwe, una malengo mangapi mwaka huu, alafu ajibu, namba moja kujenga nyumba mbili kujenga nyumba na tatu kujenga nyumba, hapo lengo ni moja ila mtamkaji amerudia tu kutaja mbona hesabu hizi zinashindikana hivi.
 
images
Z
huyu huwa hafi atadunda tu mpaka siku ya kiama.
kama yule jamaa anayetangatanga ulimwenguni kwa kujificha kila akijaribu kujiuwa inashindikana kwa sasa ana umri wa miaka 2014 na miezi 9/
alimdhihaki nabii fulani akaambiwa hata kufa mpaka siku ya hukumu.
mwingine ni farao yeye mwili wake hautaharibika mpaka siku ya hukumu,mwili wake upo tangu enzi za musa.


Huyo jamaa anaezunguka ni nani mkuu
 
Kiumbe kisicho kufa wala kuugua ni Nape Mnauye!
Hapo kipaumbe ni kimoja tu, huwezi kusema vitatu, ukiwa unataja kitu kimoja, ghiriba za siasa zile zisikusumbue ndugu yangu. mfano mtu aulizwe, una malengo mangapi mwaka huu, alafu ajibu, namba moja kujenga nyumba mbili kujenga nyumba na tatu kujenga nyumba, hapo lengo ni moja ila mtamkaji amerudia tu kutaja mbona hesabu hizi zinashindikana hivi.
 
Back
Top Bottom