Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

Wapi? Nipitie pale kwenye mwembe wa kuingia mochwari saa sita kasoro nikija kwako kila kitu kitadoda
Kudadeki....yaonekana wewe ni bingwa wa kuoda maji ya maiti.
Maana ule mwembe ndio ishara yao...mtu akikaa pale tu, hawaulizi wanajua umefata maji
 
Wakuu,

Nina kahoja hapa, ni hivi kuna tetesi kuwa kuna kiumbe hapa duniani ambacho kinaishi milele pasipo kufa.

Je, ni kiumbe gani hicho?

Mnaokijua tuambieni
Kama hicho kiumbe hakikuzaliwa basi hakifi lakini kiumbe chochote kinachozaliwa kikakua lazima kife
 
Kudadeki....yaonekana wewe ni bingwa wa kuoda maji ya maiti.
Maana ule mwembe ndio ishara yao...mtu akikaa pale tu, hawaulizi wanajua umefata maji
Hahhaahaaaa usisemee hilo hapa noma kuna watu wapana Kama barabara BRT
 
Hakuna kitakacho Baki kwani kila Nafsi itaonja umauti na hata yeye mtoa roho pia hatobakia.... Na hii ni kwa wale waliomini wakakatazana amabaya na kuamrishana mema (Islam)

Kila Nafsi Itaonja Mauti Na Hakuna Atakayebakia Isipokuwa Allaah سبحانه وتعالى
Anasema Allaah سبحانه وتعالى:

كُلُّ نَفْسٍ ذَآئِقَةُ الْمَوْتِ وَإِنَّمَا تُوَفَّوْنَ أُجُورَكُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ فَمَن زُحْزِحَ عَنِ النَّارِ وَأُدْخِلَ الْجَنَّةَ فَقَدْ فَازَ وَما الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلاَّ مَتَاعُ الْغُرُور

((Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kamili Siku ya Qiyaamah. Na atakayeepushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu)) [Al-'Imraan: 185]

Tokea kuumbwa kwa Nabii Aadam عليه السلام hadi leo na mpaka siku ya Qiyaamah hakuna kiumbe kitakachobakia isipokuwa Mwenyewe Mola Mtukufu kama Anavyosema:

كُلُّشَيْءٍ هَالِكٌ إِلَّا وَجْهَهُ

((Kila kitu kitaangamia isipokuwa Yeye)) [Al-Qaswas: 88]

Vile vile Anasema Allaah سبحانه وتعالى :

((كُلُّمَنْ عَلَيْهَا فَانٍ)) ((وَيَبْقَى وَجْهُ رَبِّكَ ذُوالْجَلَالِ وَالْإِكْرَام))

((Kila kilioko juu Yake kitatoweka)) ((Na Atabakia Mwenyewe Mola wakoMwenye utukufu na ukarimu)) [Ar-Rahmaan: 26-27]

Baada ya kupulizwa Swuur (baragumu) siku ya Qiyaamah viumbe vyote vitakufa kwa mpangilio Anaoutaka Mwenyewe Allaah سبحانه وتعالى. Kisha mwisho atabakia Malakul Mawt (Malaika mtoaji roho) na Allaah سبحانه وتعالى.Kisha Allaah سبحانه وتعالى Atamuamrisha Malakul Mawt ajitoe roho yake mwenyewe. Atakapokufa Malakul Mawt Atabakia Allaah سبحانه وتعالى Pekee wa Mwanzo na wa Mwisho, Al-Hayyul-Qayyuum (Mwenye uhai wa maisha, Msimamia kila jambo). Allaah سبحانه وتعالى Siku hiyo Atazikusanya ardhi na mbingu katika Mikono Yake,
 
nzalendo
Muheshimiwa elimu za dini zinakuharibu bila kujifunza kwa kutumia alternative source ya information fara/firaun ni cheo wala si jina mtu binafsi, kilikuwa cheo cha mfalme wa Egypt\misiri na kulikua na desturi am sayansi ya kuhifadhi mili yao wakifa ili siharibike mummification japo mpaka sasa imeharibika kiasi, na mili hiyo ilikua ikihifadhiwa kwenye pyramids. Dini ilikua ni chanzo cha elimu zamani ila si ulimwengu wa Leo, katika ulimwengu huu chukua tu maadali yaliyo mema na wala si yote, ukichukua yote na yakatumika ipasavyo tutaanza kuuwana tu hususa kama muislam akiapply jihad. Faida ya dini iliyobaki ni kutisha watu kwa moto ilituishi kwa kuogopa maovu

Ushauri imani bila uchunguzi mbaya, si lazima ukizaliwa mkritu au muislamu ufe na dini yako kwa kuona wengine wamekosea , tumia maamuzi yako reason, sio wazee wa zamani wakuchagulie dini kwa kuwa karibu na muuza watumwa au mfanyabiashara wa kiarabu au kwa vile babu alikuwa myampala kwa mkoloni. Dini ni elimu,utaratibu,sheria na mfumo wa kuishi kabla ya serikali za Leo,na imesaidia pia kuleta madhara kama vile crusade wars na Holly wars(jihad). Re-think and evaluate life. Pole kwa maneno mengi
 
Madame B tafadhali naomba tukutane makaburi ya mwananyamala saa sita usiku kuna ishu, vaa kaniki tuu
Kyupi je nivae pia?
Au nije chukuchuku?
Chukuchuku hicho kinanihii kina mapepo
Asante.
Karibu kwangu....tuianzie safari hapa
Wapi? Nipitie pale kwenye mwembe wa kuingia mochwari saa sita kasoro nikija kwako kila kitu kitadoda
Kudadeki....yaonekana wewe ni bingwa wa kuoda maji ya maiti.
Maana ule mwembe ndio ishara yao...mtu akikaa pale tu, hawaulizi wanajua umefata maji
Hahhaahaaaa usisemee hilo hapa noma kuna watu wapana Kama barabara BRT
Asante mjomba Mpotto
Hahhaahaaaa kwani Mimi sivai viatu?
Kwahiyo viatu unavaa ila vile vingine huvai
Hahhaahaaaa
Nilikuwa nawachora tu ghafla nikajikuta nimepoteza lengo nikajikuta naduwaa.
 
Aliyepaa ni Nabii Elisha (ambaye kimsingi ndiye nabii aliyefanya makubwa pengine kuzidi Yesu)..
Yesu yeye alikufa na kwenda kuzimu kuchukua ufunguo wa uzima wa milele kwa muda wa siku tatu...
Soma neno, elewa neno, tenda neno!

Halafu haya sio mambo yako madam, basi tu unajilazimisha.. teh!
 
Back
Top Bottom