Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

viumbe wengi hawafi nakutoweka. kinachotokea ni kama mti kupukutisha majani lakini mti uko palepalee. mfano binadamu anahesabiwa kiumbe mmojawapo. bindamu hatoweki bali mtu mmoj mmoja binadamu yuko palepale. simba yuko palepale n.k. kinachofanya kiumbe atoweke funiani ni kubadilika kwamazingira
 
hamna mitandao yenu ya kichawi mpaka muanike hadharani appointment zenu humu ktk mitandao ya kiraia???halafu madame b akija na kaniki havai kyupi???
Mmh sasa yeye si mwanafunzi? After all tunayoongea hapa ni tofauti na uhalisia... Tunayoyafanya kule kamwe hayasemwi hapa... Ni mwiko mkubwa
 
Yesu alipaa...hakufa

Mkuu unamzungumzia YESU NAVAZ wa mancity ama....mana mm nnaemjua alizaliwa akateswa msalabani akafa akafufuka siku ya tatu.....alafu akapaa mbinguni ila alisha kufaga....ila kufa kwake sasa ndo kimbembe!!!!
 
Anaebomoa nyumba za maskini na makapuki huenda akaishi bila ya kufa
 
AFANDE KIFIMBO. Ni kweli jiwe kama kiumbe.LAKINI VIUMBE VIPO VYENYE UHAI NA VISIVYO NA UHAI.VILE VYENYE UHAI HUJIONGEZA NA HUFA.HATA KAMA VITAISHI MIAKA 2000 AU 3000 ! VISIVYO NA UHAI HAVIFI NS HAVIISHI ILA HUDUMU BILA MABADILIKO YA NDANI.
 
Mkuu unamzungumzia YESU NAVAZ wa mancity ama....mana mm nnaemjua alizaliwa akateswa msalabani akafa akafufuka siku ya tatu.....alafu akapaa mbinguni ila alisha kufaga....ila kufa kwake sasa ndo kimbembe!!!!
....Yesu Masiha
 
....Yesu Masiha
Huyu alikufa na akafufuka.....tatizo ni kwamba je alipokufa alikwenda wanapoenda wenzetu ama hii ilikuwa kama kiini macho tu....au alikufa kweli then akaibuliwa mtu mwingine sawa na yeye.....kinachokufa uoza....hapa ndo spatagi jibu Madame B.....hivi wewe unasali wapi twende wote pengine mchungaji anaweza tutatulia hili?
 
Hahaha....Jumapili nitakubeba twende Mlima wa moto mkuu.....hii mada ishanichanganya
 
Huyu alikufa na akafufuka.....tatizo ni kwamba je alipokufa alikwenda wanapoenda wenzetu ama hii ilikuwa kama kiini macho tu....au alikufa kweli then akaibuliwa mtu mwingine sawa na yeye.....kinachokufa uoza....hapa ndo spatagi jibu Madame B.....hivi wewe unasali wapi twende wote pengine mchungaji anaweza tutatulia hili?
Yesu hakufa tusidanganyane bibile inasema ishara ya yesu ni kama ya yona. Na yona alikaa ndani ya tumbo la samaki 2 kwa cku tatu bla kufa kisha akatemwa iweje nyie mseme yesu alikufa wkt bibilia yenu imeshasema ishara ya yesu n kama ya yona au mnapngana na maandiko yenu?
 
Mkuu sisi hatupingani na bible....Yesubkweli alikufa na siku ya tatu akafufuka......ndo mana tunaadhimisha PASAKA.....Kama kumbukumbu ya kufufuka kwake full stop.
 
Wakuu,

Nina kahoja hapa, ni hivi kuna tetesi kuwa kuna kiumbe hapa duniani ambacho kinaishi milele pasipo kufa.

Je, ni kiumbe gani hicho?

Mnaokijua tuambieni
Kwa mujibu wa somo la baiolojia, ni nyoka ambaye kama hatouawa basi anaishi bila kufa kwani kila anapozeeka anarejea ujanani kwa kujivua gamba.

Nimesahau formula kidogo lakini hao wanyama hawana mstari wa natural death.
 
Back
Top Bottom