Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

Kinachokufa ni mwili.... hiyo roho ambayo ni wewe itaenda kwenye another dimension ....
Unajua nn mkuu Hapa ndo mwisho Wa cku ndo kunaleta uthibitisho mungu yupo japo wengine hawaamin. Unajua n kwa nn Mkuu watu wrote waliopo kwenye hii dunia wanabshana xana kuhusu mambo ya mungu na kubishana kama mungu yupo na wengine wanaamn hakuna mungu wanatofaut katka mambo meng ya kiitikad zao za din (wakrsto, waislam,wayahud wanao amn ktk satanism na din nyingenezo) ila wote wanaamn kuna maisha baada ya kifo na wote wanaamn wataish katka roho na hata sayansi imeshindwa kuprove roho n nn.
Hapa ndo tunaporud nakusema mjuz anajua maana ya roho n nn n mungu peke yake hizi nyngne bla bla tu mama hakuna anayeweza kukusibitshia roho n nn
 
Ni kweli mkuu
 
Unaongelea viumbe gani?,kuna aina kuu mbili za viumbe (1)Viumbe hai sifa kuu ya viumbe hawa ni uwezo wa kufa na (2)viumbe visivyo hai,sifa kuu ya viumbe hawa ni kutokufa.kwiyo swali lako jibu lake la weza kuwa JIWE ambacho ni kiumbe ambacho hakikufi.
kumbuka hata jiwe linamong'onyoka vipavipande.
cheza na Mungu.

swissme
 
images
Z
huyu huwa hafi atadunda tu mpaka siku ya kiama.
kama yule jamaa anayetangatanga ulimwenguni kwa kujificha kila akijaribu kujiuwa inashindikana kwa sasa ana umri wa miaka 2014 na miezi 9/
alimdhihaki nabii fulani akaambiwa hata kufa mpaka siku ya hukumu.
mwingine ni farao yeye mwili wake hautaharibika mpaka siku ya hukumu,mwili wake upo tangu enzi za musa.

SIjakusoma mkubwa! yupi huyo anayetangatanga mwenye umri mkubwa hivyo? na je mwili wa farao uko pande zipi??
 
Tofautisha
roho ni kitu ambacho hatukifahamu tuna dhana tu kwamba kuna roho ila hakuna anaeijua wala aliewahi kuiona roho na uhai ni hali ya kuwa na uwezo wa kuishi kuendelea kuvuta pumzi za Mungu kwetu sisi binadamu na mimea na kuna vitu vingine vimeumbwa vina uhai ila havina roho mfano hii dunia, sababu tunaeza sema ina uhai sababu ipo na siku ikaja ika collapse tutasema dunia imeisha(imekufa)
 
Kuwa hyo hl andko linalosema ishara ya yesu ni kama ya yona n uongo?? Tatzo wakrsto mnaabudu vtu mcvyo vjua na vng n uzushi ulioletwa na waroma. Unaijua asili ya pasaka ww?

Nimesoma komyio na kipaimara....pasaka maana yake ni siku ya mikate hisiyochachwa.....na tunasherekea kufufuka kwa Yesu kristo wa nadharet....hayo mengine ya mashehe wa ubungo na jangwani baki nayo wewe mkuu.....khasante
 
Hahahahahaha ckulaumu tatzo co lako tatzo n la Constantine
 
Back
Top Bottom