Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Unaongelea viumbe gani?,kuna aina kuu mbili za viumbe (1)Viumbe hai sifa kuu ya viumbe hawa ni uwezo wa kufa na (2)viumbe visivyo hai,sifa kuu ya viumbe hawa ni kutokufa.kwiyo swali lako jibu lake la weza kuwa JIWE ambacho ni kiumbe ambacho hakikufi.
Nafikiri ukishasema kiumbe maana yake ni 'living' kwa maana ya 'organism'. Lakini kwa mtazamo wako wewe ni living things na non-living things ambayo kwa kiswahili ni vitu vinavyoishi na visivyoishi.
Halafu kwenye namba 2 yako iweje useme sifa kuu ya kiumbe visivyo hai ni kutokufa wakati kufa ni mwisho wa uhai, sasa iweje hasiekuwa na uhai akahusishwa na suala la kufa?