Ukitafsiri kiumbe kwa maana ya kisayansi swali hili litakuwa gumu sana kwako.Nimeona maoni mengi ya jamaa wanasema kiumbe ambacho hakijazaliwa hakifi,huu ni ufikiriaji wa kitoto,wanganpi hawajazaliwa na wamekufa na watakufa,mathalani Adamu na Hawa hawakuzaliwa na walikufa bali ni viumbe hai,milima ni viumbe,maji kadhalika ni viumbe,wenye ufahamu mdogo juu ya viumbe hai basi kwao wao kiumbe hai hakiwi hai mpaka kiwe na macho,mdomo wa kuongea wanao fikiria hivi basi wana ufahamu mdogo sana juu ya viumbe hai.Lipo jiwe lililo lia na mlima ulioongea kwa hakika.
Kwa ufupi kila nafsi itaonja umaiti mpaka malaika mtoa roho naye atakufa.