sisi kwa mafundisho ya kiislamu tunaamini viumbe vyote vitakufa ili mradi vimeumbwa na M/Mungu iwe milima mawe na binadamu hakuna kitakachobak.i siku ya mwisho litapigwa parapanda ambalo sauti yake tu jinsi ilivyo kali kama kuna kiumbe yeyote atabakia kwa ukali wa sauti hiyo kitatoka uhai kwa mshutuko na baada ya hapo M/Mungu atamtuma israel atafute dunia nzima kama kuna yeyote aliebaki israel atatafuta asione kiumbe yeyote M/Mungu atamtuma zaidi ya mara moja atafute na asione chochote na mwisho atagundua hakuna aliebaki isipokuwa yeye israel na M/Mungu ndipo M/Mungu atamuuliza israel hukumbuki ile kauli yangu ''kila nafsi itaonja mauti'' na atamuamlisha israel ajitoe roho mwenyewe naye atajitoa roho huku akiumia kwa maumivu na baada ya hapo atabakia mwenyewe M/Mungu mmoja tu dunia siku yasemakana itakuwa flat hakuna milima hakuna chochote. na atajitapa kwani M/Mungu ndiye anayestahiki kujisifu na atasema MIMI NDIYE MFALME WAKO WAPI HAO WAFALME WA ULIMWENGU,kwa hiyo atakaebaki ni Mungu tu na amehahidi hivyo Mungu mweneyewe