Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 1,985
- 5,167
Mimi mwaka juzi nilikua natoka kimapenzi na mdada flani hivi,sasa huyo mdada alikua na best yake,nikawa namzunguka namla na best yake,so kwa kifupi nikawa nawala marafiki walioshibana kwa wakati mmoja.
Case ya pili mwaka 2019 niliwahi kuwala wadada wanne kwa siku moja,kila mtu nilimkaza kwa muda wake na eneo lake.
Case ya mwisho imenitokea mwaka huu,kuna mshangazi nilikua naumega kimtindo,siku flani mwanae katoka chuo nikatambulishwa kuwa mimi ni anko,kuna siku nikaanza kumtania anko nikaona anko anajaa kwenye mfumo sikulaza damu nikamtafuna,so nikawa nimekula mtu na mama yake.
Nikikumbuka hizi case tatu najishangaa ilikuaje kuaje nikafanya haya mambo?