Ni kiwanja gani ni mbadala wa La Chaaz, Sinza?

Ndio hapo mkuu, error tu. Bata lake mwanana sana
Bahati mbaya naishi nje ya dar kwa muda sasa ila nimewekeza Goba. Nikiwa likizo hapo Triple B ndio nakula faida ya kazi ya mikono yangu.
 
Bahati mbaya naishi nje ya dar kwa muda sasa ila nimewekeza Goba. Nikiwa likizo hapo Triple B ndio nakula faida ya kazi ya mikono yangu.
Pale Safi sana mkuu. Hewa Safi, wahudumu wazuri na huduma pia standard
 
Kuna tumziki pale King DHotel floor ya tatu. Nishafika pale patulivu sana. Kunywa vyombo na bata la kuchepuka. Sinza taaamu bwana
 
5N Kuna mpaka vyumba. Wahudumu Kama wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…