Ni kiwanja gani ni mbadala wa La Chaaz, Sinza?

Ni kiwanja gani ni mbadala wa La Chaaz, Sinza?

Wakuu,

Baada ya kusikia kiwanja changu pendwa lachaaz kuungua moto, sasa nipo njia panda ni kiwanja kipi mbadala kwa maeneo ya sinza?

Nataraji kufika jijini, hapo awali sehemu niliyokuwa najiachia ni hapo La Chaaz

wanabodi nipeni mbadala
Ambiance
 
My babe why you crying 😍
Wewe uko mjini unatafuna tu kuku na wine huko Micas si sijui! halafu mimi niko huku kijijini nakula tu ugali na ngogwe!!

Nikipata nauli nakufuata huko huko mjini! Wanaume wa Dar siwaamini kabisa!!!🤩🤩
 
Halafu bebi ujue kwaresma hii sikusomi kabisa au haufungi

Mitaa hio napajua London lounge hivi bado ipo au imekufa
😅😅Acha tuu bebii,.kufunga muhimu kwetu, london lounge ipo ila huwezi amini napapita tuu sijapagusa mwaka wa pili huu..
 
Wewe uko mjini unatafuna tu kuku na wine huko Micas si sijui! halafu mimi niko huku kijijini nakula tu ugali na ngogwe!!

Nikipata nauli nakufuata huko huko mjini! Wanaume wa Dar siwaamini kabisa!!!🤩🤩
Usijali love niko mikono salama ya wanaume wa Dar 😀😀😀 uwe na amani tu. Ntakuja huko tule wote huo ugali na ngogwe😀
 
Back
Top Bottom