bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Ligi kuu ya Uingereza Ndo iyo imezd kushika kasi,huku mashabiki wengne wakicheka,wengne huzuni tupuu wengne wakilia kabsaa ndo utamu wa ligi huo..
Jaapo ni mapema sanaa kulisema hili nalotaka kulisema ila wacha niliseme tuu kwani Waswahili wanasema Dalili za Mvua ni Mawingu au Biashara Mapema
Je kwa mtazamo wako jinsi unavyoifwatilia ligi Unahisi ni KOCHA GANI ATAKUA WA KWANZA KABISA KUONESHWA MLANGO WA KUTOKEA AU WASWAHILI WASEMA KIBARUA KUOTA NYASI/MAGUGU???
TUPE MAONI YAKO.