bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
- Thread starter
- #41
Ila Conte kakuta timu ipo vibaya sana nahic ajasajili yeye zaid ya David Luiz wachezaji wengi niwa Mourhino,makocha wengi kutoka Italy wanapenda soka la kulinda na ukiangalia pale chelsea hakuna beki katili kama jana upande wa Ivanovic ndo palikua njia tumwache asajili kwanza.Conte muda si mrefu kitanuka
Pia bosi wake kama malengo ya kuingia top 4 na sio ubingwa