Ni kocha yupi atakua wa kwanza kuoneshwa mlango wa kutokea??

Ni kocha yupi atakua wa kwanza kuoneshwa mlango wa kutokea??

Kaanza vibaya sana, katika mechi 11 kashinda moja tu
Mechi ya kwanza tu ndo alishinda. Tatizo lake, yule ni mzee wa kupaki, na championship mashambulizi ni ya kufikia. Sasa alitarajia nn kwa hali hiyo?
 
Naona Frank de Boer Inter Milan kocha alikua kikaongoni ila leo kachomoa kamchampa Juve 2-1 Inter kapiga mpira mkubwa leo wakiendelea ivi ivi ule utamu wa ligi ya Italia utarudii
Frank De Boer kwenye kitimoto Soka la Italia limekua gumu kwake...
 
After 85days rasmi Frank de Boer sio kocha wa Inter Milan tena
 
Hatimaye ALAN PARDEW KOCHA WA CYSTAL PALACE AWA KOCHA WA KWANZA EPL KUTIMULIWA...NANI ATAFUATA?
Tusubiri
 
MIKE PHELAN aliyekuwa kocha wa Hull City naye kibarua kimeota Nyasi.

Huyu aliwahi kuwa msaidizi wa Fergie kipindi kocha Man utd
 
After 85days rasmi Frank de Boer sio kocha wa Inter Milan tena
Italia alikaa siku 85 Uingereza amekaa siku 77 Je arudi darasani au apumzike kazi ya ukocha..


Frank de boer awa kocha wa kwanza kuonyeshwa mlango wa kutokea Cystal palace.

Hawa hawa mwaka jana walikua wa kwanza tena kumtimua Alan Pardew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ligi kuu ya Uingereza Ndo iyo imezd kushika kasi,huku mashabiki wengne wakicheka,wengne huzuni tupuu wengne wakilia kabsaa ndo utamu wa ligi huo..

Jaapo ni mapema sanaa kulisema hili nalotaka kulisema ila wacha niliseme tuu kwani Waswahili wanasema Dalili za Mvua ni Mawingu au Biashara Mapema

Je kwa mtazamo wako jinsi unavyoifwatilia ligi Unahisi ni KOCHA GANI ATAKUA WA KWANZA KABISA KUONESHWA MLANGO WA KUTOKEA AU WASWAHILI WASEMA KIBARUA KUOTA NYASI/MAGUGU???

TUPE MAONI YAKO.
kwa hapa bongo lwandamina hana uhai ndani ya yanga,sijui kama atafika msimu wa pili,yule kocha hana plan B kabisaaaaa....
 
Back
Top Bottom