Athy Sal
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 507
- 339
Huyu ndo kwanza alitabiriwa mapema sana..Majeruhi wa kwanza huyu. Link Swansea sack Francesco Guidolin and appoint Bob Bradley manager
Timu zenye uwezekano wa kutimua makocha mapema sana kwenye PL ni Swansea, Stoke City na West Ham. Kocha wa kwanza kutimuliwa PL atatokana na mojawapo kati ya hizo timu..Watch this space