werdremenTimu gan tena washafanya yao??
Mourinho ako na players wazuri sana ishu ni selection ya kikos game kama ya leo angeanza Carrick game haikua na Tempo kubwa Carrick anajua kupelekea timu mbele pasi nyingi za Fellaini ni back/Square passes ila Carrick anajua kuforce pass za mbele Carrick achape 6 Pogba akamate dimba la Juu...japo ni mapema kama unavyosema lkn kama mourinho hatabadili mfumo anaotumia sasahv wa kumuweka pogba 6 hlf felain 8 itamghalim
De Boer anahitaji muda Inter wakimfukuza watakuwa wamechemkaNaona Frank de Boer Inter Milan kocha alikua kikaongoni ila leo kachomoa kamchampa Juve 2-1 Inter kapiga mpira mkubwa leo wakiendelea ivi ivi ule utamu wa ligi ya Italia utarudii
Tumpe muda Mourniho sidhani kama atakubali kumwaga Unga tena,I think bado anatafuta Combination ya timu.Kwakweli manU ya mourinho itamaliza ya kumi
De Boer alikuwa Ajax,PSV inafundishwa na Philip CocuYa ni kocha mzuri kaibadilisha Inter sana...inter kapga mwingi sana uyo Icardi,Perisic,Mario,Miranda wamecheza vizuri sana leo
Ata kpnd yuko PSV walikua vizuri
Kwa hilo Sidhani kaka mzee amekosa combination hakuna balance ya timu hasa eneo la viungo Fellaini ni box to box midfielder jamii ya Yaya toure akikutana na timu zinazopga pasi nyingi ni rahis kutoka mchezoni...mtu kama Pogba sawa kuna muda anakokota sana wakati wenzake wameshafungua vyumba ni makosa madogo yakurekebishika.Shida ya Morinho hana couple players..! MU sasa hivi kila mchezaji anacheza kivyake kuwepo na couples za wachezaji ili Roon, Zilatan na pogba kila mtu anatafuta umaarufu.