Ni Korea kaskazini pekee inaweza lindwa na china nchi zingine ni marafiki msaada utategemeana na hali ya vita

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Kama ulikuwa hufahamu sio kosa kwa China kuonekana mbele mbele kwa vita zisizo muhusu hasizo na ushirika nazo.

Tusubiri siku North Korea ikivamiwa kama 1950-1953.

China currently has a defense treaty with North Korea. This treaty, officially titled the "Treaty on Friendship, Cooperation and Mutual Assistance between China and the DPRK," was signed in 1961 and is the only formal defense alliance China has with another nation. It pledges immediate military and other assistance to its ally against any outside attack.

Treaty on Friendship, Cooperation and Mutual Assistance between China and the DPRK
Pledges immediate military and other assistance against any outside attack, renewed in 1981, 2001, and 2021
 
China imekaa kimya mshirika wake iran anabondwa wala hamsaidii, kuna BRICS members nao wamekaa kimya hawafurukuti kupiga mkwara kwamba wataingia vitani kumsaidia mwanachama mwenzao
Ushirika kwenye nini ?

Umesoma uzi lakini au tatizo la watanzania wengi ku comment bila kusoma chochote.

Soma hapa:
"Treaty on Friendship, Cooperation and Mutual Assistance between China and the DPRK," was signed in 1961 and is the only formal defense alliance China has with another nation.
 
China imekaa kimya mshirika wake iran anabondwa wala hamsaidii, kuna BRICS members nao wamekaa kimya hawafurukuti kupiga mkwara kwamba wataingia vitani kumsaidia mwanachama mwenzao
BRICS ni nini ?

Kuna vitu vya ajabu humu
 
Sio China ya leo. Ingekuwa ile China ya Mao Iran angesaidiwa. China hii inaangalia maslahi yake ya kiuchumi kwanza, wakiona hakuna manufaa wataishia kulaani tu na kutaka pande zote zisitishe mapigano.
 
Awe na treaty au vinginevyo akijaribu kuingiza pua pale itamkula...
 
China imekaa kimya mshirika wake iran anabondwa wala hamsaidii, kuna BRICS members nao wamekaa kimya hawafurukuti kupiga mkwara kwamba wataingia vitani kumsaidia mwanachama mwenzao
Unaelewa maana ya mshirika?

Ni tangu lini Iran imekuwa mshirika wa China?

Na ni nani alikwambia BRICS ni military alliance kama NATO au ilivyokuwa WARSAW PACT?

Jitahidi uwe unatumia akili kufanya analysis
​
 
Sio China ya leo. Ingekuwa ile China ya Mao Iran angesaidiwa. China hii inaangalia maslahi yake ya kiuchumi kwanza, wakiona hakuna manufaa wataishia kulaani tu na kutaka pande zote zisitishe mapigano.
Hata ingekuwa China ya Mao wasingethubutu, Iran bado haijawa rafiki wa kuaminika kwa China.

Kuna mambo mengi watu hawajui ila kwa kifupi Iran haina msimamo inapokuja diplomatic relationship na China.
​
 
Kama ulikuwa hufahamu sio kosa kwa China kuonekana mbele mbele kwa vita zisizo muhusu hasizo na ushirika nazo.

Tusubiri siku North Korea ikivamiwa kama 1950-1953.

China currently has a defense treaty with North Korea. This treaty, officially titled the "Treaty on Friendship, Cooperation and Mutual Assistance between China and the DPRK," was signed in 1961 and is the only formal defense alliance China has with another nation. It pledges immediate military and other assistance to its ally against any outside attack.

Treaty on Friendship, Cooperation and Mutual Assistance between China and the DPRK
Pledges immediate military and other assistance against any outside attack, renewed in 1981, 2001, and 2021

View: https://www.instagram.com/p/DLCYH_1MegC/?igsh=ZGsxaGYyM3JyYzRs

Kila Nchi ijipiganie tuu.
 
Sio China ya leo. Ingekuwa ile China ya Mao Iran angesaidiwa. China hii inaangalia maslahi yake ya kiuchumi kwanza, wakiona hakuna manufaa wataishia kulaani tu na kutaka pande zote zisitishe mapigano.
Unaelewa maana ya mkataba ? Achana na Mao amekwisha fariki.

Treaty on Friendship, Cooperation and Mutual Assistance between China and the DPRK
Pledges immediate military and other assistance against any outside attack, renewed in 1981, 2001, and 2021

Soma kwenye maandishi yaliyo korezwa Mao kafariki toka 1976
 
Back
Top Bottom