trojan92
Member
- May 18, 2024
- 91
- 276
Wakuu habari....
Iko hivi nimelata hiyo maada hapa juu sababu naona huyu mwanamke ana kila dalili ya kutofaa/ sio wife material kabisa.
Mimi ndiye niliyemnunulia simu na kumfungulia hizi akaunti za social media kama instagram na Facebook. Sasa huwa sina tabia ya kushika simu yake sababu namwamini na sijawahi ona mashaka juu yake
Juzi nikawa sina dakika nikaomba simu yake nipige kwa rafiki yangu mmoja hivi, bahati mbaya ikaingia notification ya instagram katika kutaka kuswipe ipotee nikajikuta nimefungua. Kucheki inbox, huyu binti ni paka shume kabisa, yaani amewatumia message mastaa wengi wa kibongo kama bongo movie, wanamziki etc eti anawapenda na yupo tayari kuwapa hata haramu ndukum ili tu wampende....nilishangaa sana. Ukimuangalia alivyompole na sura ya unyenyekevu huwezi dhania yupo tayari kutoa haramu.
Nilikuwa kwenye hatua za kufunga ndoa maana mahali nimeshatoa. Kila nikimwangalia napata hasira. Sina amani tena nae hata kidogo. Nimefikiri na kuamua kupiga chini. Sifungi ndoa nae, she belongs to the streets.
Nafanya kazi kuhakikisha anapata kila kitu kumbe yeye yupo kuahidi watu ndukum, huyu demu hafai kabisa.
Oya nitakuwa nimezingua kumuacha?
Je ungekuwa wewe ungeamuaje sababu wahuni hawawezi muacha?