Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Hii ya leakage usipojua utaumia sanaa.. Sisi bili ilikuja laki mzee lakini kila tuliamgalia hatuoni maji yanatumika wapi...!!
 
Hii kuna rafiki yangu amejenga nyumba ya kisasa ila imekosa choo ndani..inamuuma saana...kwasababu alikua amejenga kidogo kidogo yani kwa kudunduliza...sasa kama unavyojua maisha yanabadilika...anajilaumu vibaya. Vyumba 5 ndani ila choo cha nje.
Kujenga kidogo kidogo siyo sababu, itakuwa yeye kakulia kwenye maisha ya vyoo vya nje, kama kakukia kwenye nyumba ya vyoo vya ndani lazima na yeye angejenga choo ndani tu, kama anamke basi huyo mke wake jamii moja na yeye wamelelewa kwenye nyumba ya vyoo vya nje au kwao walikuwa wana jisaidia vichakani uko vijijini kwao
 
Hii kuna rafiki yangu amejenga nyumba ya kisasa ila imekosa choo ndani..inamuuma saana...kwasababu alikua amejenga kidogo kidogo yani kwa kudunduliza...sasa kama unavyojua maisha yanabadilika...anajilaumu vibaya. Vyumba 5 ndani ila choo cha nje.
Niite nikushauri.

Ua chumba kimoja. Kulingana na ramani ya nyumba Ilivyo toavyoo viwili ita fundi aweke system ya mabomba kutoa taka nje kwenye shimo la nje.

Nimuhim kuangalia location ya chumba atakachokiua na shimo lilipo.

Upata vyoo vya kisasa. Fundi ataweka mtandao huu

Hakikisha mfumo wa maji taka nje unakuwa wa kisasa wa kupoteza maji ardhini.
 
Unarudiaje mkuu, bati mpya au unatoa zile zilizopo then wanarekebisha afu unarudisha zile zile?
Mm naona nirudie upya zote maaana kwanza kench ipo juu pia ukuta hawakutanguliza plaster mwanzoni so zinakanyagwa kanyagwa sana zinakuwa na kasoro

Napenda baada ya kumalizana na kila kitu kinacho husu ukuta pasiwe na mtu wa kupanda tena juu ya bati ili niwe na Imani na kilicho fanyika
 
Hujaeleweka
 
Maisha ndio yalivyo mkuu,umetoka kugombana na wenye nyumba sasa hivi unagombana na majirani [emoji276]mwendo ni haste haste hakuna kupumzika
 
Hukufukuza majambazi hayo?
 
Shukuru upo kwako Mkuu
 
Mnaejenga mijumba mikubwa mjitafakari mambo yamebadilika siku hizi hakuna kutembeleana ovyo wala kuishi kwa ndugu kama zamani na watoto wakikua wanakimbilia sehemu nyingine kutafuta maisha ,kwahiyo utabaki na jumba kubwa kama msikiti peke yako
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†
 
Hii kuna rafiki yangu amejenga nyumba ya kisasa ila imekosa choo ndani..inamuuma saana...kwasababu alikua amejenga kidogo kidogo yani kwa kudunduliza...sasa kama unavyojua maisha yanabadilika...anajilaumu vibaya. Vyumba 5 ndani ila choo cha nje.

Kuweka choo ndani inawezekana.. aue chumba kimoja aweke choo ndani. Na hata chumba chake kugeuza master kinawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…