Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Unaweza kufunga fan za ukutani mkuu, kuna options za feni nzuri tu na ukapata fundi mzuri akakuelekeza jinsi ya kuzifunga, bado muonekano wa nyumba utakuwa poa tu.
 
Kila siku zinakuja design mpya ungejenga mwaka gani sasa? 😂
 
Kwani ramani hukuiona na vipimo vya vyumba?
 
Hii dunia kuna viumbe wa ajabu sana
 
Wakuu na Mimi naomba Mwenye ramani ya vyumba vitatu
Vyote viwe na vyoo ndani,
Na jiko,
Anitumie PM
Naomba mawazo pia ili nisije kufanya makosa
Ikiwezekana na estimation ya kujenga nyumba ya design hii kiwanja kikiwepo tayari so ni gharama za ujenzi tu mpaka nyumba kukamilika
 
[emoji23]
 
Mkuu tafuta hooked anchor bolts inaweza kuwa mbadala na suluhisho la changamoto yako
 
Tatizo si kuwahibali ukijenga nyumba mbaya
 
Vyumba vikubwa afu havina cha maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…