Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 801
- 3,143
Nimejenga karbu na Kanisa flan aiiisee wale watu wana sali bana usiku hulali kwa Raha kelelee tupu usiku mzima kero sana, nikaamua nitafute kiwanja kingine na nimejenga mwezi ujao nahamia huku naweka wapangaji.