Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?

kuingia kwenye mahusiano na mdada mnene!, akikasirika anakupiga kama mwanae.. lile halikuwa penzi lilikuwa ni husiano la kunifundisha adabu ya kwamba asiefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu!.
Na akilala kitandani humpelekeshi. Cjui unyanyue mguu wake, utaambulia kujichekesha
 
Kuchunguzana chunguzana sitorudia wallahi bora niishi nae tu basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…