Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Dipresheni hiyo😂Baado sana🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dipresheni hiyo😂Baado sana🤣🤣
😂😂😂kuingia kwenye mahusiano na mdada mnene!, akikasirika anakupiga kama mwanae.. lile halikuwa penzi lilikuwa ni husiano la kunifundisha adabu ya kwamba asiefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu!.
😹😹😹 Nyie watu emu acheni basi dah!Ukiingia Kwenye mahusiano/ ndoa na mwanamke mfupi walahi utapata tabu Sana.
Hawa viumbe wafupi hapana kwa Kweli 👐
Kwisha habari yako🤣Dipresheni hiyo😂
Bi small Vikorofi sana.Ukiingia Kwenye mahusiano/ ndoa na mwanamke mfupi walahi utapata tabu Sana.
Hawa viumbe wafupi hapana kwa Kweli 👐
Nshazoea 😂Kwisha habari yako🤣
Sicheki na yeyote naulinda wangu moyo...Funguka.
Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?
Wifi mnaandamwa sana 😹😹Muulize, hawa wanawake wa kichaga wanaoolewa kila siku ni wa wapi eti wifi yangu..?
Kwanini iwe kuolewaKUOLEWA
Sitarudia tena ujinga huo