Ni kosa kubwa kama tutawafunga Algeria, Waafrika wenzetu hawatatusamehe

Ni kosa kubwa kama tutawafunga Algeria, Waafrika wenzetu hawatatusamehe

Hahahaha mie nacheka tu hizo comment maana na zenyewe ni burudani tosha. Sipati picha ndo umeongea hivo kwenye kampeni za mkutano wa chadema.
 
Hao Algeria wamewahi kufanya nini huko WC? Vibarua mnavyofanya kwa Waarabu vinawaharibu akili. Nyie ndio mfano mbaya kabisa kwa jamii. Kwa kuwa fulani maksi zake hazitoshi basi tumjumlishie fulani awe na nyingi bila kujifunza dhana ya mashindano

Wewe ndo mfano wa watanzania wavivu mnaopenda shortcut ya mafanikio
 
Napingana na mleta mada kwa sababu zifuatazo
1. Twnzania nasi tunahiyaji kukuza soka letu. Hivyo kwa kuwafunga hawa hata kiwango chetu kwenye viwwngo vya FIFA kitapamda
2. Tanzania nasi tunahitaji kuwa mwakilishi wa Afrika siku sijazo hivyo lazima tuwafunge
3. Wachezaji wa Tanzania wanah taji kufikia kiwango cha akiwa Samata au zaidi yao. Sasa kuwafunga hawa jamaa kutaonyesha kukua kwa kiwango hicho na hivyo kuhitajika kwenye timu kubwa zaidi duniani.
4. Kukuza soka la Tanzania kutawafanya wanatanzania wapende zaidi soka na hivyo kuongeza kipato kwa TFF na wadau wengine kupitia soka.

NB: MNAMPINGA MLETA MADA TOENI SABABU NA SI KUJIFANYA WWZALENDO ZAIDI YAKE WAKATI KAWAPA SABABU....... WALIOPINGA HADI HAPA WAMEWNDIKA KWA HISIA TU... WENGI WENU HATA SOSEJI MNATUMIA ZA KENYA.... TIMU ZA MICHEZO MBALIMBALI MNASHANGILIA ZA NJE.... JUZI MMEMSHANGILIA SAMATA WAKATI MNASAHAU HUYO NAYE ALANZIA HUKU


Naomba nikurekebishe: HATUJIFANYI WAZALENDO, TU WAZALENDO.

2, Kuna tofauti ya kula soseji za Kenya na kushangilia timu ngeni. Huyu bwana hana hoja na ndio maana sijaona cha kumjibu. Angenihurumia tu kwamba kwa kauli zake ataniponza na hii sheria yenu mpya ya kukataza watu kutoa ya moyoni.

Hebu wewe niambie, kama anaamini Algeria ndio timu nzuri imara na safi, wasi wasi wa kufungwa na Tanzania anautoa wapi ikiwa si tu kwamba ana ubongo wa mtumwa?

Wallah angekuwa karibu yangu leo makalio yake yangekumbuka shule ya msingi, tena enzi zileee wakati mkwaju na mwanzi vina matumizi zaidi ya kujengea......hana adabu!
 
Huyo ndiyo haswa mpinzani wa Tanzania.

Umenihakikishia kuwa wewe ni ukawa.
 
Kwakweli nikikumbuka jinsi hawa Algeria walivyoikamata German kombe la dunia lililopita..nakata tamaa nasema haiwezekani..
sisi tuache porojo tujipange 2022..akina Samata na Ulimwengu hawatoshi kutuvusha hii sio siasa..
 
sikubaliani na mtoa mada sana ila kuna kaukweli.. taifa starz kwenda world cup 2018 haiwezekani hata ikiruhusiwa wacheze 20 uwanjani.

africa nzima nchi almost 60 tunapewa chance 5 tu za uwakilishi kwenye world cup.

so taifa starz kuwemo kwenye hizo 5 chance ni ndoto ta mchana. huwezi cheza world cup kwa kutegemea wachezaj wa simba, yanga, azam na kidogo mazembe
 
Mkuu iron finger nakupa LIKE. button ya like haipo hivyo chukua hiyo. Hata tuwafunge magoli mia tanzania hatuendi popote kamwe. Sasa roho ya kwa nini inatoka wapi. Ndio maana wenzetu weupe wanaendelea. Kung'ang'ania vitu ambavyo havina tija kwetu ya nini, itakuwa na msaa gani, pia kuwatoa algeria tutafaidika na nini, ubinafsi umetuzidi sana ndio maana tutabaki kuangalia world cup kwenye tv tu
 
Kuna umuhimu wa kukodi watu waje wajaze nafasi za baadhi ya raia hapa, nchi ina watu zaid ya mil 40 kumbe raia wapo wachache
 
Mkuu iron finger nakupa LIKE. button ya like haipo hivyo chukua hiyo. Hata tuwafunge magoli mia tanzania hatuendi popote kamwe. Sasa roho ya kwa nini inatoka wapi. Ndio maana wenzetu weupe wanaendelea. Kung'ang'ania vitu ambavyo havina tija kwetu ya nini, itakuwa na msaa gani, pia kuwatoa algeria tutafaidika na nini, ubinafsi umetuzidi sana ndio maana tutabaki kuangalia world cup kwenye tv tu
Nenda KAJITOMBE fisi weee!
 
Wewe ndo mfano wa watanzania wavivu mnaopenda shortcut ya mafanikio

Kweli kila ubongo una kichwa lakini si kila kichwa kina ubongo. Sasa mvivu nani zaidi ya wewe unayetaka Algeria aachiwe apite bila kiwango?

Mada ya huyu mtumwa mwenzako inasema kwamba tumuachie Algeria apite, mimi kwa mtazamo wangu kama kweli Algeria anao uwezo basi na atufunge, sasa nani anataka short cut?

Kakune nazi jikoni, mi sio saiz yako linapokuja suala la kufikiri. Utawaaibisha wazazi wako kwa kulikana taifa lako
 
Algeria kama tukiwafunga au wakitolewa na kukosa kombe la dunia maana yake HAWASTAHILI KWENDA, simple and clear!
 
Kuna umuhimu wa kukodi watu waje wajaze nafasi za baadhi ya raia hapa, nchi ina watu zaid ya mil 40 kumbe raia wapo wachache

Mi mwanzo nilidhani misukule ni mijitu labda ya umbo la ajabu, kumbe usukuleism ni tatizo la kwenye ubongo. Kizazi hiki cha mazezeta kinaligharimu sana taifa.
 
Kwakweli nikikumbuka jinsi hawa Algeria walivyoikamata German kombe la dunia lililopita..nakata tamaa nasema haiwezekani..
sisi tuache porojo tujipange 2022..akina Samata na Ulimwengu hawatoshi kutuvusha hii sio siasa..
Ni timu ya pili kwa ubora Afrika, ila kama kututoa watutoe kihalali na kama watafika kombe la dunia basi wafike kihalali, sio kama pumba alizoandika mleta mada na wahaini wengine!
Haiwezekani kuwaachia eti kisa wana jina Afrika!
 
Sasa Algeria ndio watachukua world cup? Kweli we panzi.
 
NI uzalendo wa kipuuzi, kuisifia timu isiyojitambua na inayotegemea mauzauza kushinda.,.

AFRICA KWANZA, TANZANIA BAADAE
 
Penye mpira kuna wakati hutokea mambo yasiyo tarajiwa tunayo mifano kama ya Togo Senegal na cameroon sitataja matukio ila kwa wanamichezo watanielewa.Algeria anatakiwa adhihirishe ubora wake pia stars tukimfunga Algeria vijana watakuwa na ari ya kusonga mbele japo tusiende huko mwisho lakini misingi ya mpira tunazidi kuweka so sidhani kama ni sahihi kuibeza timu yetu.Leo umkane mwanao mwenye utindio wa ubongo kwa mtoto wa jirani?
 
Jamani tupende ukweli kila mmoja anapenda timu yetu ishinde kabisa lakini tunacheza na timu iliyomkosakosa ujerumani(bingwa) kuingia nusu final. Hata Kwa mchezaji mmoja mmoja wenzetu wanacheza uefa champ & cup tukishinda mpira unadunda asee.. Na algeria wako 11 na sisi 11 na mpira matokeo 3 yanaweza kuondoka kwa yoyote
 
Back
Top Bottom