Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,622
- 4,100
Jamani tupende ukweli kila mmoja anapenda timu yetu ishinde kabisa lakini tunacheza na timu iliyomkosakosa ujerumani(bingwa) kuingia nusu final. Hata Kwa mchezaji mmoja mmoja wenzetu wanacheza uefa champ & cup tukishinda mpira unadunda asee.. Na algeria wako 11 na sisi 11 na mpira matokeo 3 yanaweza kuondoka kwa yoyote
Pia wenzetu wamelelewa kwenye accademy za france hawajaishi africa hii mazingira yetu na wao tofauti pamoja na hayo tuko pamoja kuutafuta ushindi ambao kwetu ni muhimu