Hao Algeria wamewahi kufanya nini huko WC? Vibarua mnavyofanya kwa Waarabu vinawaharibu akili. Nyie ndio mfano mbaya kabisa kwa jamii. Kwa kuwa fulani maksi zake hazitoshi basi tumjumlishie fulani awe na nyingi bila kujifunza dhana ya mashindano
Napingana na mleta mada kwa sababu zifuatazo
1. Twnzania nasi tunahiyaji kukuza soka letu. Hivyo kwa kuwafunga hawa hata kiwango chetu kwenye viwwngo vya FIFA kitapamda
2. Tanzania nasi tunahitaji kuwa mwakilishi wa Afrika siku sijazo hivyo lazima tuwafunge
3. Wachezaji wa Tanzania wanah taji kufikia kiwango cha akiwa Samata au zaidi yao. Sasa kuwafunga hawa jamaa kutaonyesha kukua kwa kiwango hicho na hivyo kuhitajika kwenye timu kubwa zaidi duniani.
4. Kukuza soka la Tanzania kutawafanya wanatanzania wapende zaidi soka na hivyo kuongeza kipato kwa TFF na wadau wengine kupitia soka.
NB: MNAMPINGA MLETA MADA TOENI SABABU NA SI KUJIFANYA WWZALENDO ZAIDI YAKE WAKATI KAWAPA SABABU....... WALIOPINGA HADI HAPA WAMEWNDIKA KWA HISIA TU... WENGI WENU HATA SOSEJI MNATUMIA ZA KENYA.... TIMU ZA MICHEZO MBALIMBALI MNASHANGILIA ZA NJE.... JUZI MMEMSHANGILIA SAMATA WAKATI MNASAHAU HUYO NAYE ALANZIA HUKU
Nenda KAJITOMBE fisi weee!Mkuu iron finger nakupa LIKE. button ya like haipo hivyo chukua hiyo. Hata tuwafunge magoli mia tanzania hatuendi popote kamwe. Sasa roho ya kwa nini inatoka wapi. Ndio maana wenzetu weupe wanaendelea. Kung'ang'ania vitu ambavyo havina tija kwetu ya nini, itakuwa na msaa gani, pia kuwatoa algeria tutafaidika na nini, ubinafsi umetuzidi sana ndio maana tutabaki kuangalia world cup kwenye tv tu
Wewe ndo mfano wa watanzania wavivu mnaopenda shortcut ya mafanikio
Kuna umuhimu wa kukodi watu waje wajaze nafasi za baadhi ya raia hapa, nchi ina watu zaid ya mil 40 kumbe raia wapo wachache
Ni timu ya pili kwa ubora Afrika, ila kama kututoa watutoe kihalali na kama watafika kombe la dunia basi wafike kihalali, sio kama pumba alizoandika mleta mada na wahaini wengine!Kwakweli nikikumbuka jinsi hawa Algeria walivyoikamata German kombe la dunia lililopita..nakata tamaa nasema haiwezekani..
sisi tuache porojo tujipange 2022..akina Samata na Ulimwengu hawatoshi kutuvusha hii sio siasa..