Ni kosa kubwa kama tutawafunga Algeria, Waafrika wenzetu hawatatusamehe


Pia wenzetu wamelelewa kwenye accademy za france hawajaishi africa hii mazingira yetu na wao tofauti pamoja na hayo tuko pamoja kuutafuta ushindi ambao kwetu ni muhimu
 
Huyu jamaa ni mtanzania ila kapima uwezo wa timu wakati star ikijivunia wachezaji wawili Samata na ulimwengu wenzetu kikosi chote 11hadi wa akiba wanacheza ulaya,

Yeye hawezi kuhimili presha ya kufungwa kaona ajisalimishe mapema kwa algeria lakini atakuwa anashangilia star kimoyomoyo.

Mimi nitashangilia stars hata ikifungwa kwani siwezi kubadili uraia.
 
mleta mada unaposema kua ni kosa kubwa kuwafunga Algeria hujioni kua wewe ni PIMBI

Hio timu unayoiona wewe kua ni bora iweje ikifungwa na Tanzania useme kua tutaonekana ni wasaliti?

Ili tuwaamini kua wao ni bora kuliko sisi lazima watufunge otherwise sisi tutakua ndio wawakilishi wazuri kama tukiwafunga

"usipokua mwaminifu kwa jambo dogo huwezi kua mwaminifu kwa jambo kubwa"
 



Don't.


Swissme
 
Algeria inapatikana Africa lakini jamaa ni waarabu ndo mana wapo kwenye arab league na wala hawawezi jitambulisha kama yeye ni muafrica...
 
Kama wana kiwango si waifunge stars? As simple as that. Kama nimemuelewa vizuri mleta mada anataka stars wacheze kilege lege ili kutoa nafasi kwa Algeria kushinda na wasonge mbele kwa kuwa stars hawafai! Akili zingine hizi jamani!
 
Ama kweli nimeamini kuna watu na viatu
sasa wewe mleta mada ni mmoja wao.

usishangae mkuu watu wa aina hii wapo wengi sana Tz ndio hao hata kwenye kampen za lowasa walikuwa wanajaa viwanjan wakamwaaminisha mzee kuwa anawafuasi lakn kumbe wapowapo tu
 
Tunaongoza mpaka sasa kwa bao moja Na tukiwashinda ndio hivyo sisi tupo juu yao kisoka
 
Huyo ndiyo haswa mpinzani wa Tanzania.

Umenihakikishia kuwa wewe ni ukawa.

mknd wk! kwanini wewe bibi kila siku unapenda kunitafutia ban? mbona huna adabu katu?

mtoa mada ana akili kama za CCM wanaojitapa kuleta mafanikio ndani ya mwaka 1 wakati wameshindwa kufanya hivyo kwa miaka 54! mpuuzi na mpumbaFU mkubwa wewe ajuza!
 
Kwakweli nikikumbuka jinsi hawa Algeria walivyoikamata German kombe la dunia lililopita..nakata tamaa nasema haiwezekani..
sisi tuache porojo tujipange 2022..akina Samata na Ulimwengu hawatoshi kutuvusha hii sio siasa..

mkuu, umeangalia mpira au unaropoka tu?
 
unaongea uukweli mtupu.wajinga wengi hawatakuelewa.

u can't reap without sowing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…