Ni kosa kubwa mno mwanaume kukiri kosa la usaliti kwa mkeo

Ni kosa kubwa mno mwanaume kukiri kosa la usaliti kwa mkeo

Kuna jamaa angu aliwahi kutwa kifuani mwa mwanamke ready handled anatafuna papuchi.

Huwez amini jamaa alikataa sio yeye.
Hahahaaaaaa umenivunja mbavu mkuu hahahaaaaa hivyo ndivyo tunapaswa kuwa wanaume wooote duniani
 
Asilimia kubwa ya wanawake duniani wanaamini uongo zaidi kutoka kwa mwanaume kuliko ukweli , na ndio maana ilikuwapata lazima uwe muongo muongo ndio utaopoa ukiwa mkweli utakosa utelezi..so nitashangaa sana kwama mwanaume utafumaniwa alafu ukakiri kosa kirahisi tuu..

Hata mzaziwetu wa kwanza wa imani (Adamu/Adam) alipo ulizwa kwanini umekula tunda hakukiri kosa moja kwa moja bali alipiga chenga nyingi ndio maana tumebeba adhabu yake hata leo
 
My most beautiful darling, Msweet, habu lala mamaaa, hizi insomnia tuachia ambao tume dedicate maisha yetu kwa ajili ya kuifanya dunia kuwa Paradise yako.
Please go to bed and have a deep sleep.
Nakupenda Sana, silali nawaza vitu vichache TU, HELA, wewe na namna ya kutumia hela ili kuupa moyo wako afya na uzima wa milele.

I LOVE YOU Msweet
Kupendwa Raha Jamani. Napendwa Mie💕
 
Back
Top Bottom