Ni kosa kubwa mno mwanaume kukiri kosa la usaliti kwa mkeo

Kuna jamaa angu aliwahi kutwa kifuani mwa mwanamke ready handled anatafuna papuchi.

Huwez amini jamaa alikataa sio yeye.
Hahahaaaaaa umenivunja mbavu mkuu hahahaaaaa hivyo ndivyo tunapaswa kuwa wanaume wooote duniani
 
Asilimia kubwa ya wanawake duniani wanaamini uongo zaidi kutoka kwa mwanaume kuliko ukweli , na ndio maana ilikuwapata lazima uwe muongo muongo ndio utaopoa ukiwa mkweli utakosa utelezi..so nitashangaa sana kwama mwanaume utafumaniwa alafu ukakiri kosa kirahisi tuu..

Hata mzaziwetu wa kwanza wa imani (Adamu/Adam) alipo ulizwa kwanini umekula tunda hakukiri kosa moja kwa moja bali alipiga chenga nyingi ndio maana tumebeba adhabu yake hata leo
 
Kupendwa Raha Jamani. Napendwa Mie💕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…