Ni kosa kumlinganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

Wewe ina maaana hauoni kwamba taifa limekwama hakuna kinachoendelea kabsaa zaidi ya wizi na kukopa tu,wewe unajitafutia riziki kweli au unaishi kwa shemeji yako?

Haya tuoneshe Taifa limekwamia wapi? Una uhakika hakuna kinachoendelea?

Ni lini Nchi hii haijawahi kukopa? Nikuoneshe mikopo ya serikali ya Magufuli?

Pili Ni lini Tanzania hii wizi uliwahi kupungua achilia mbali kuisha? Unakumbuka aliyefukuza CAG alikuwa nani? Kuna mwaka CAG aliwahi sema wizi wa awamu ya 5 umepungua?

Mimi naishi Kwa shemeji yangu ndio maana miradi ya serikali imepunguza kipato chako 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Weka na mapato ya Mikopo wewe!!

Kama mapato yameongezeka ni vipi hata wakandarasi hawalipwi!? Why kutembeza bakuli Kila siku!?

Mnampamba tu lakini ni mzigo usiobebeka
Mapato ya mikopo ndio Mapato gani? Tufanye yapo,haya ni lini Tanzania chini ya awamu ya 5 iliwahi kuacha kukopa na kupokea Misaada?

Pili kati ya awamu ya 5 na ya 6 ipi ilizalisha utitiri wa Madeni Kwa wakandarasi?

Miradi yote ingesimama kama wakandarasi hawalipwi.

Mwisho hakuna anaepambwa ila takwimu ndio xinampamba,mzigo ni ule ambao ulisitisha hata Ajira Kwa visingizio vya Sgr.

Kazi zinaongea πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Miradi mikubwa imesimama licha ya mapato.makubwa ya TRA,,Mikopo mingi lakini tumesimama ,Inammana fedha zinaibiwa sana na hazisaidii watanzania.So magufuri alikuwa Bora sana
Mradi gani uliosimama wewe hater wa Samia? Bwawa la umeme almost done.

Sgr ya Dar-Dom almost duone,soon uzinduzi inafanyika

Daraja la Busisi liko 90% ,disemba linakamilika.

Lots zote za Sgr Zina wakandarasi kasoro ya Uvinza-Burundi ,kabla ya hapo hawakuwepo.

Miradi hiyo mikubwa iliyosimama ni ipi? 😁😁
 
Mimi Si mwanacccm,

Lakini kuruhusu Samia, agombee 2025 ni sawa na kumuigiza kipofu ndani ya uwanja kwenye nafasi ya GOALKEEPER !!!

Hata kama timu itanunua referee, magoli yataingia mengi sana.

Tusubiri.
 
Unaleta Promo kwenye maisha ya watu. Hata wananchi hawamtaki. Kabisa. Endeleza uchawa. Sidhan kama unauwezo hata wa kupelekq familia yako India kwa matibabu.
 
Kuna kundi la watu 20 linawakilisha watu milioni 60, wanapiga debe tuenda naye hadi 2030.

Ikifika 2030 Tanganyika haita tawalika trust me.

Visiwani kutakuwa Dubai
 
Unaleta Promo kwenye maisha ya watu. Hata wananchi hawamtaki. Kabisa. Endeleza uchawa. Sidhan kama unaeha hata ya kupelekq familia yako India kwa matibabu
Jibu ,miradi mikubwa iliyosimama ni ipi? Mbona unaruka ruka kama chura?

Wananchi wa wapi hao ambao hawamtaki? Ni Hawa wanaowekesa lami au? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C73N5J_ig5f/?igsh=MWljeWNhaDFkNnp0cg==
Au unamaanisha Hawa waliojengewa hospital ndio hawamtaki? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C7kI34FMEb8/?igsh=MTI0ZGE2MTBocTQ2Mw==
Mwisho usipende kujumuisha matamanio Yako yawe ya wengine πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C7QktslCFcd/?igsh=YzdnNGs0OXh2NGNr
Mwisho kazi za Samia ndio zinapeleka promo sio Mimi.Ni kweli wewe ndio Huwa unailiwha familia yangu.
 
Samia simpendi hata kidogo ila kwenye demokrasia yupo vizuri....sijawahi sikia amepiga risasi raia au kuwinda wapinzani ili awafute kwenye ulimwengu kama Jiwe
 
Kuna hela za covid zililetwa kwa ajili ya kujenga vituo vya afya. Na hazikutolewa bure. Kwa maelezo yako magu alijenga vituo 100+ Bila kusaidiwa na hela za covid. Na samia kajenga 200+ kwa msaada wa hela za covid. Bado magu ni bora mara 1000.
 
Bil 94 kujenga hivo vibanda. Ushawahi kutembelea hivyo vibanda na kujua na kujionea ? Unafahamu kibanda kimoja kimetumia bei gani ; TATIZO kubwa la nyie watanzania ni Elimu na exposure.
 
Bil 94 kujenga hivo vibanda. Ushawahi kutembelea hivyo vibanda na kujua na kujionea ? Unafahamu kibanda kimoja kimetumia bei gani ; TATIZO kubwa la nyie watanzania ni Elimu na exposure.
Hivyo hivyo vibanda ndio muhimu Kwa Wananchi kwani vinawahudumia.

Pili si ufanye hesabu,Iko wazi hivyo Vituo unavyoita vibanda Kimoja kinagharimu wastani wa mil.500-700.

Elimu na exposure vinahusikaje na mada? Wewe si umesema Samia hajafanya kitu ni mzigo kulinganisha na Magu au? Ndio nimekunesha kwamba Samia amefanya zaidi ya huyo unaemsifia Kwa miaka 3.5 tuu.

Mwisho naendelea kukuonesha vibanda vingine hapa πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C6rhbRiMqmb/?igsh=OHZ4MDhyY3M5ZDI2
My Take: Huna hoja leta ujinga mwingine nikuone.

Rais anapimwa kwa delivery na sio Kwa Makelele yenu ya kipumbavu.
 
Kuna hela za covid zililetwa kwa ajili ya kujenga vituo vya afya. Na hazikutolewa bure. Kwa maelezo yako magu alijenga vituo 100+ Bila kusaidiwa na hela za covid. Na samia kajenga 200+ kwa msaada wa hela za covid. Bado magu ni bora mara 1000.
😁😁😁 .Wananchi wanahitaji Huduma wewe unauliza hela za kusiasiiwa sijui za wapi,hizo ni excuse za kitoto na kijinga maana huo ni Mkopo na utalipa.

Pili hela ya COVID sio msaada Bali ni Mkopo ambao Samia alichukua baada ya kukidhi vigezo ikiwemo Cha jo ambayo Mwendazake alishindwa.

Mwisho Ujenzi wa Kituo Cha Afya Kingine unaendelea,Je hii hapa ni covid 19? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C7CQUXEtibk/?igsh=YWppdWdmZ3NuZHNr
My Take: Samia hawezi linganishwa na loosers waliotangulia.Amefanya wonders nyingi kushinda wengine Kwa mda mfupi sana,kazi zinaongea πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C7uMD34KDM-/?igsh=NWVpajJqcTlub2U3
 
Kituo kimoja kigharibu Mil 500, nusu ya Bil . Hakuna Samia alicho delivery na zaid ninaona unaleta siasa. Nina ku transfer kwenye ignore list . Tunajadili mustakabal wa nchi inapoelekea na failures za huyo Mama , wewe unaleta Cheap politics za UVCCM. Ajira yangu ya Kwanza nilianzia Halmashauri huna cha kuniambia kuhusu hivyo vituo vya Afya, wewe unaviona kwenye picha mimi nimeviishi. Kituo cha Afya ni Kama nyumba ya mtu kijijini, unaponiambia ujenzi wake ni mil 500, that is why I see how dump you are. Ukija kwenye ubora hakuna Mtaalam wa Afya mwenye ratio mind anaweza kukaa hapo, Council hospital tu mwenye akil timamu na anafuture na maisha yake huwez kumuweka, uende ukakute mtaalam kituo cha Afya.

rais amejenga vituo vya Afya , chini ya JPM kumejengwa Referal hospitals na vituo vya Afya vingi as compared to Samia. Mpaka mwaka 2015 tulikuwa na total health facilities ( hapa sijui kama unanielewa nikisema Health facilities) jumla ya 6100. By 2021, Health Facilities country wide zime approach 8000( Source ; MoH) . Tena ujenzi huo umefanyika kwa pesa za ndani. Mama yako kajenga vituo vya Afya vingapi na kwa pesa gani na hujaweka pesa ya upigaji.

By the way , kuna Rais ambae hakujenga Health facilities ? Is it so unique kwa Rais kusifiwa kwa kujenga Health Facilities zisizokuwa na huduma zozote za maana ?

Is it so unique ? That is very basic thing any president can do , nchi imeingia kwenye major inflation na economies of scale imepotea. Unaleta picha za vibanda,
 
Kituo kimoja kigharibu Mil 500, nusu ya Bil . Hakuna Samia alicho delivery na zaid ninaona unaleta siasa. Nina ku transfer kwenye ignore list . Tunajadili mustakabal wa nchi inapoelekea na failures za huyo Mama , wewe unaleta Cheap politics za UCCM
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ ,We Unajua hata maana ya Kituo Cha Afya kwanza au unaropoka Kwa chuki 🀣🀣

Haya tuambie wewe gharama ya Kituo Cha Afya chenye majengo 7 Huwa ni kiasi gani?

Mwisho lazima ukimbie Kwa sababu siwezi sapoti ujinga wako maana Mimi sio wa kuokoteza kama hao,huna hoja pita huko maana nitakuumbua.

Kazi za mama zinaongea haihitaji povu kama unalotoaπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C7CQUXEtibk/?igsh=YWppdWdmZ3NuZHNr
 
Umeandika vizuri ,ila apo kwa mwendazake hakuna cha uzalendo ,alijificha kwenye kivuli cha watu maskini kuwatetea huku akianzisha mamiradi na kupata 10% na Gange lake SSh na mwendazake wote ni sawa tu ,maana hata mwenda zake angekuepo leo nchi ingekua papaya kama sasa, sema mwendazake asingedhubutu uza rasilimali za nchi kihuni huni

Ila naye alikua fisadi kama mafisadi waliopo kwa sasa na kwa sasa angekua the big Don
 
I can trust your words
 
Kituo kimoja kigharibu Mil 500, nusu ya Bil . Hakuna Samia alicho delivery na zaid ninaona unaleta siasa. Nina ku transfer kwenye ignore list . Tunajadili mustakabal wa nchi inapoelekea na failures za huyo Mama , wewe unaleta Cheap politics za UVCCM. Ajira yangu ya Kwanza nilianzia Halmashauri huna cha kuniambia kuhusu hivyo vituo vya Afya, wewe unaviona kwenye picha mimi nimeviishi. Kituo cha Afya ni Kama nyumba ya mtu kijijini, unaponiambia ujenzi wake ni mil 500, that is why I see how dump you are. Ukija kwenye ubora hakuna Mtaalam wa Afya mwenye ratio mind anaweza kukaa hapo, Council hospital tu mwenye akil timamu na anafuture na maisha yake huwez kumuweka, uende ukakute mtaalam kituo cha Afya.

rais amejenga vituo vya Afya , chini ya JPM kumejengwa Referal hospitals na vituo vya Afya vingi as compared to Samia. Mpaka mwaka 2015 tulikuwa na total health facilities ( hapa sijui kama unanielewa nikisema Health facilities) jumla ya 6100. By 2021, Health Facilities country wide zime approach 8000( Source ; MoH) . Tena ujenzi huo umefanyika kwa pesa za ndani. Mama yako kajenga vituo vya Afya vingapi na kwa pesa gani na hujaweka pesa ya upigaji.

By the way , kuna Rais ambae hakujenga Health facilities ? Is it so unique kwa Rais kusifiwa kwa kujenga Health Facilities zisizokuwa na huduma zozote za maana ?

Is it so unique ? That is very basic thing any president can do , nchi imeingia kwenye major inflation na economies of scale imepotea. Unaleta picha za vibanda,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…