Kituo kimoja kigharibu Mil 500, nusu ya Bil . Hakuna Samia alicho delivery na zaid ninaona unaleta siasa. Nina ku transfer kwenye ignore list . Tunajadili mustakabal wa nchi inapoelekea na failures za huyo Mama , wewe unaleta Cheap politics za UVCCM. Ajira yangu ya Kwanza nilianzia Halmashauri huna cha kuniambia kuhusu hivyo vituo vya Afya, wewe unaviona kwenye picha mimi nimeviishi. Kituo cha Afya ni Kama nyumba ya mtu kijijini, unaponiambia ujenzi wake ni mil 500, that is why I see how dump you are. Ukija kwenye ubora hakuna Mtaalam wa Afya mwenye ratio mind anaweza kukaa hapo, Council hospital tu mwenye akil timamu na anafuture na maisha yake huwez kumuweka, uende ukakute mtaalam kituo cha Afya.
rais amejenga vituo vya Afya , chini ya JPM kumejengwa Referal hospitals na vituo vya Afya vingi as compared to Samia. Mpaka mwaka 2015 tulikuwa na total health facilities ( hapa sijui kama unanielewa nikisema Health facilities) jumla ya 6100. By 2021, Health Facilities country wide zime approach 8000( Source ; MoH) . Tena ujenzi huo umefanyika kwa pesa za ndani. Mama yako kajenga vituo vya Afya vingapi na kwa pesa gani na hujaweka pesa ya upigaji.
By the way , kuna Rais ambae hakujenga Health facilities ? Is it so unique kwa Rais kusifiwa kwa kujenga Health Facilities zisizokuwa na huduma zozote za maana ?
Is it so unique ? . That is very basic thing any president can do , nchi imeingia kwenye major inflation na economies of scale imepotea. Unaleta picha za vibanda,