Ni kosa kumlinganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

Ni kosa kumlinganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

Baba yenu mdogo? 🤣🤣🤣🤣

Walioko Vijijini wanajua na wanaona,wewe wa mjini Utajua nini?

Bajeti ya Tarura miaka yote ya Magufuli ni 274 bln

Miaka yote ya Samia 850 bln

Kwa akili ya standard Two,nani amejenga Barabara nyingi? Au unabisha nianze kukuonesha picha?

Narudia tena,usirudie kumlinganisha Samia na yeyote,Samia ni mtu wa kazi sio propaganda Wala majigambo Wala kujimwambafy ,got it?
Dodoma imejengwa na Magufuli ndugu
 
Kwa hiyo China iliendelea Kwa kupuuza Elimu ?

Maendeleo yanaletwa baada ya kunoa na kupunguza ujinga

Ndio maana Samia ameruhisu usafiri 24hrs watu wanapiga hela Kila siku Bandari imejaa magari na Mabasi ,booming business every sector.

Nitajie Sekta iliyodolola awamu ya Samia nikuoneshe nyoka mwenye miguu.
We ni chawa
 
Mi nadhani muwe mnafunika tu ukweli ni kwamba mama anayo yafanya ni kumalizia tu ya yale ambayo aliyaacha Baba na kama ameongeza ni kuongeza gharama za maisha na kuondoa usimamizi dhabiti zidi ya wafanyakazi hewa .
Mfano unasema eti kaongeza vitanda vya wagonjwa mahututi ,hivi unaakiri kweli unamsifu anayeongeza urembo wa nyumba na unaacha kumsifu aliye ijenga unaakili kweli wewe au unashikiwa ????
💥Eti kajenga barabara !!!!
Unatakiwa useme" anajenga "maana hata moja aliyoianza hajaimaliza .Ila kipindi cha Babà yangu wa Africa yeye alianzisha na kaliza na hata alizoziacha Mh.Kikwete ákazimalizia .
💥 pia unatakwimu za urudishwaji wa fedha zilizoazimwa Serikalini ukoje????
Kwa sasa umeshukwa kwa angharabu ya 3 to 5 lBl
Kama huaminig sema kitu nikiongezee
 
Wekeni electronic polling tupige popote
hawatathubutu hapa. Mama samia alipata kura 3 mpaka mwinyi vijana wa 2003 wakampgia kura wakati hawakuwahi hata kujua utawala wake. KUIONDOA CCM KWA SANDUKU LA KURA NI KAMA KUMSUKUMA MLEVI TATIZO NI WIZI WALIONAO.
 
N
Afya
Vituo vya Afya 354

Samia Vituo vya Afya zaidi ya 450

Mapato 1.5 T Kwa mwezi

Samia 2.2 T Kwa mwezi

Samia maelfu ya Ajira Kila mwaka,yule mwingine alishindwa kabisa.

Kama tuu Mapato yameongezeka kiasi Hivyo nani automatic Kila sekta utoaji Huduma umeongezeka kuanzia maji Hadi NIDA ilivyokuwa imeshindikana.

Huyo mtu wako zaidi ya kufoka hakuna jipya lolote kwenye uchumi.
Hivi vyoote bado vipo kwa makaratasi ya maccm
 
Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na alikuwa MZALENDO wa kweli as compared to Samia.

Samia aliingia kwa mbwembwe na vigelegele pamoja na kundi lake kuonesha utawala wa Hayati Magufuli ulikuwa mmbovu, miaka 2.5 tu Samia has proven failures kwenye strategies za kustabilize uchumi, pumzi imeshakata na ameingia kwenye complicate life za kupiga na kuondoka.

1. Samia alikuta Petrol kwa lita ni 1880 , kwa sasa Lita moja ni 3300 na trends inaonesha itapiga hadi 4000 by December 2024

2. Samia alikuta dollar ni sawa na 2100 to 2200, kwa sasa dola moja ni 2800 for purchasing , na availability yake ni ngumu sana. Kama hujatumia njia za panya basi hupati, risk ya kuuziwa dola fake ni more than 50% kwenye njia za panya.

3. Samia anakopa kuliko utawala wowote kuwahi kutokea, Kama fedha hizo zingekuwa na usimamizi sahihi na matumizi sahihi basi tayari tungekuwa ni South ya pili ; chini ya Samia TRA inavuka target ya makusanyo, chini ya Samia mikopo ni mingi na chini ya Samia Miradi yote imestuck. Barabara ya Mbagala, Airport na magomeni kote zilianza two years ago , just few kilometers, mpaka sasa ni blah bhah huku nchi inaingia kwenye madeni makubwa . SGR ndio another scam under Samia leadership, mmesikia tumekopa Exim ya china for the project, and verily , that is not going to work.

4. Vyeti fake na watumishi hewa pamoja na mishahara hewa ni another scandal under samia leadership, badala ya kupungua, hawajamaa wamerudi than ever before.

5. Under Samia, Resources za nchi zinapewa wageni bila ya kujali masilahi mapana ya Taifa, tuna appreciate uwekezaji lakini uwekezaji unapaswa kuwa ni kwa maslahi mapana ya raia na sio maslahi binafsi; kama uwekezaji upo clear, hatuhitaji promo na ushawishi, ukiona promo ujue huo ni WIZI mwingine, and for sure mikataba yote aliyosaini Samia akija Rais Mzalendo, ataivunja mikataba yote hata kwa kuvunja Sheria, and that is another loss for the country. Tutakwenda mbele na kurudi nyuma, kuna haja ya kushitaki hawa marais kwa kutia taifa hasara.

6 . Ishu ya Umeme bado ni tatizo, under Samia umeme umekuwa ni wa ma Shaka na anytime unakatika. Japo tunaambiwa umeme upo wa kutosha, kama umeme ni wa kutosha why ukatike mara kwa mara. All of sudden shida ya umeme ni baada ya Samia kupewa nchi

7. Under Samia, gharama za vyakula vipo juu kuliko miaka yoyote, huduma za Afya zimedorota. NHIF imekosa tija kwenye taifa.

CCM mpo huru kumsimamisha Mama yetu 2025, lakini muelewe kwa miaka 2 tumefika hapa, for the next 5 years tunakwenda kuwa Zimbabwe ya Mugabe ni suala la muda.
Chawa wote, kama mnaamini tunaponda tu au tunaandika kwa chuki, ni suala la muda, mtakula sasa hivi lakini generation yenu itakuwa kwenye shida kama watanzania wengine. Uzuri na nyie mpo kwenye nyumba inayoharibiwa siku hadi siku .

Wapinzani kazi kwenu, ni kipindi kizuri cha kuitikisa CCM na kuunda Serikali ya Mseto pamoja na kuitoa madarakani
HAKUNA KOSA WOTE NI WALE WALE UKITAKA WAWE TOFAUTI SAMIA ARUHUSU MCHAKATO WA KATIBA MPYA
 
Kwa hiyo China iliendelea Kwa kupuuza Elimu ?

Maendeleo yanaletwa baada ya kunoa na kupunguza ujinga

Ndio maana Samia ameruhisu usafiri 24hrs watu wanapiga hela Kila siku Bandari imejaa magari na Mabasi ,booming business every sector.

Nitajie Sekta iliyodolola awamu ya Samia nikuoneshe nyoka mwenye miguu.
Unaongea.n na msomi na sio mbumbumbu mshmba wewe,.
Sikiliza nikwambie jambo la kubadili mtaala ndo laumhimu sana kuliko kuamini kwamba hiii elimu inatufaa mimi nimeisoma nimeiona inavyonizibia riziki
 
Hata namba awamu ya mamaenu samia hamna mpo mpo tu
Weka namba wewe msukule wa Mwendazake,unaogopa nini?

Moja ya sekta ambayo ilijifia awamu ya yule mtu asiyejua Uchumi ilikuwa ni sekta ya nyumba na Ardhi(real estates).

Posta majengo yalikuwa magogu,miradi ya Majumba ilisimama na mingine Kufa kama Kawe na Dege nk.

Ila mama amefungua upya na Sasa ni booming business 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C4ktYpktkEU/?igsh=MXMxd3lzZjQyZnRlcQ==

My Take: Samia sio level za wale mbumbumbu wenu.
 
Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na alikuwa MZALENDO wa kweli as compared to Samia.

Samia aliingia kwa mbwembwe na vigelegele pamoja na kundi lake kuonesha utawala wa Hayati Magufuli ulikuwa mmbovu, miaka 2.5 tu Samia has proven failures kwenye strategies za kustabilize uchumi, pumzi imeshakata na ameingia kwenye complicate life za kupiga na kuondoka.

1. Samia alikuta Petrol kwa lita ni 1880 , kwa sasa Lita moja ni 3300 na trends inaonesha itapiga hadi 4000 by December 2024

2. Samia alikuta dollar ni sawa na 2100 to 2200, kwa sasa dola moja ni 2800 for purchasing , na availability yake ni ngumu sana. Kama hujatumia njia za panya basi hupati, risk ya kuuziwa dola fake ni more than 50% kwenye njia za panya.

3. Samia anakopa kuliko utawala wowote kuwahi kutokea, Kama fedha hizo zingekuwa na usimamizi sahihi na matumizi sahihi basi tayari tungekuwa ni South ya pili ; chini ya Samia TRA inavuka target ya makusanyo, chini ya Samia mikopo ni mingi na chini ya Samia Miradi yote imestuck. Barabara ya Mbagala, Airport na magomeni kote zilianza two years ago , just few kilometers, mpaka sasa ni blah bhah huku nchi inaingia kwenye madeni makubwa . SGR ndio another scam under Samia leadership, mmesikia tumekopa Exim ya china for the project, and verily , that is not going to work.

4. Vyeti fake na watumishi hewa pamoja na mishahara hewa ni another scandal under samia leadership, badala ya kupungua, hawajamaa wamerudi than ever before.

5. Under Samia, Resources za nchi zinapewa wageni bila ya kujali masilahi mapana ya Taifa, tuna appreciate uwekezaji lakini uwekezaji unapaswa kuwa ni kwa maslahi mapana ya raia na sio maslahi binafsi; kama uwekezaji upo clear, hatuhitaji promo na ushawishi, ukiona promo ujue huo ni WIZI mwingine, and for sure mikataba yote aliyosaini Samia akija Rais Mzalendo, ataivunja mikataba yote hata kwa kuvunja Sheria, and that is another loss for the country. Tutakwenda mbele na kurudi nyuma, kuna haja ya kushitaki hawa marais kwa kutia taifa hasara.

6 . Ishu ya Umeme bado ni tatizo, under Samia umeme umekuwa ni wa ma Shaka na anytime unakatika. Japo tunaambiwa umeme upo wa kutosha, kama umeme ni wa kutosha why ukatike mara kwa mara. All of sudden shida ya umeme ni baada ya Samia kupewa nchi

7. Under Samia, gharama za vyakula vipo juu kuliko miaka yoyote, huduma za Afya zimedorota. NHIF imekosa tija kwenye taifa.

CCM mpo huru kumsimamisha Mama yetu 2025, lakini muelewe kwa miaka 2 tumefika hapa, for the next 5 years tunakwenda kuwa Zimbabwe ya Mugabe ni suala la muda. Chawa wote, kama mnaamini tunaponda tu au tunaandika kwa chuki, ni suala la muda, mtakula sasa hivi lakini generation yenu itakuwa kwenye shida kama watanzania wengine. Uzuri na nyie mpo kwenye nyumba inayoharibiwa siku hadi siku.

Wapinzani kazi kwenu, ni kipindi kizuri cha kuitikisa CCM na kuunda Serikali ya Mseto pamoja na kuitoa madarakani.
Samia ndiye aliyejilinganisha na Magufuli, kamfungulie kesi.
 
Jibu hoja wewe,kama Dola zimeadimika ,madukani hakuna bidhaa au wewe umekosa bidhaa au Huduma gani Kwa sababu hakuna Dola?

Mwisho unajua kwamba Samia anajenga Vyuo Vikuu au katawi ya Vyuo Vikuu Mikoa yote ya Tanzania?

Je unajua kwmba Samia amejenga Vyuo vya Veta Wilaya zote za Tanzania?

Hizo ni rekodi hakuna Rais aliwahi fikia except Samia.

Na lazima mtoto wangu mmjawapo nimpe jina la Samia Kwa heshima ya kazi kubwa ya kuifungua Nchi aliyofanya ambayo Mwendazake na ujamaa wake aliharibu.
Chawa wenye uwezo mdogo wa kuchambua mambo kama wewe mnamwangusha sana Rais Samia. Nimekuuliza unipe logic ya kuwa na bidhaa madukani ambazo bei haikamatiki, wewe unadandia kuniambia Samia anajenga veta kila wilaya. Bei za bidhaa na veta wapi na wapi ?!?
 
Siasa nzuri siyo kulazimisha (udikteta), ni makubaliano kwa asilimia kubwa.
Ni lazima kuwe na makubaliano ya kuheshimiana katika kuongoza watanzania kwa ujumla wake (Bara na visiwani).
Siasa jumuishi zisizotumia sana nguvu za vyombo vya dola (wasiojulikana) ni muhimu kwa nyakati hizi, kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.
Kill one thousand to fear hii ndo italeta maendeleo ya jamii na taifa maana makubaliano yashapitwa na wakati maana sioni maendeleo kabisa kwa makubaliano
 
Taja Uliko ambako unasema hujaona mafanikio Mimi nikuoneshe.

Pili source zangu ni rasmi kutoka Tamisemi/Wizara ya Afya.

Nyie mlikuwa mnalishwa propaganda maana hakuna stori nyingine tofauti mlisikoa zaidi ya porojo za Kumsifia Mwendazake maana alidhibiti vyombo vyote vya habari tofauti na Sasa.

Soma hizi takwimu kutoka Wizara ya Afya na Tamisemi 👇

View attachment 3013600View attachment 3013601View attachment 3013602View attachment 3013603View attachment 3013604View attachment 3013605

Mwisho soma hapo idadi ya Vituo alivyojenga Magufuli👇👇

View attachment 3013609

Kati ya hivyo Vituo vya Afya 352,takribani nusu yake vilikuwepo isipokuwa viliongezewa majengo mapya Ili vianze kutoa Huduma ya upasuaji Kwa kina mama tofauti na Samia anajenga Vituo bioya kabisa kwenye kata za kimkakati na lengi lake ni kujenga Vituo 500 Hadi 2025 na Mwaka wa 204/25 zaidi ya Vituo vya Afya 100 vitajengwa.
Sadly , hujawahi kuwa na Akili. Baki hivo hivo.
 
Back
Top Bottom