Ni kosa kumlinganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

Ni kosa kumlinganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

Chawa wenye uwezo mdogo wa kuchambua mambo kama wewe mnamwangusha sana Rais Samia. Nimekuuliza unipe logic ya kuwa na bidhaa madukani ambazo bei haikamatiki, wewe unadandia kuniambia Samia anajenga veta kila wilaya. Bei za bidhaa na veta wapi na wapi ?!?
Bidhaa zipi ambazo hazikamatiki wewe mbumbumbu?
 
Mtaala upi???
Wewe una shida mahala sio Bure
20240610_213411.jpg
 
Wewe hapo ,unabwabwaja bila facts Wala evidence,Mimi nimeweka facts na reference
Umeweka facts au machapisho ya kisiasa. Narudia tena hujawahi kuwa na akili. Hujui kutofautisha kati ya Facts na Machapisho ya kisiasa. Hakuna facts hata moja uliweka bali umeweka machapisho ya kisiasa yasiyokuwa na tija.
Élimu Akili Elimu Akili Elimu Akil
 
Weka namba wewe msukule wa Mwendazake,unaogopa nini?

Moja ya sekta ambayo ilijifia awamu ya yule mtu asiyejua Uchumi ilikuwa ni sekta ya nyumba na Ardhi(real estates).

Posta majengo yalikuwa magogu,miradi ya Majumba ilisimama na mingine Kufa kama Kawe na Dege nk.

Ila mama amefungua upya na Sasa ni booming business 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C4ktYpktkEU/?igsh=MXMxd3lzZjQyZnRlcQ==

My Take: Samia sio level za wale mbumbumbu wenu.

Niondolee huu ujinga chawa we
 
Haya tuoneshe Taifa limekwamia wapi? Una uhakika hakuna kinachoendelea?

Ni lini Nchi hii haijawahi kukopa? Nikuoneshe mikopo ya serikali ya Magufuli?

Pili Ni lini Tanzania hii wizi uliwahi kupungua achilia mbali kuisha? Unakumbuka aliyefukuza CAG alikuwa nani? Kuna mwaka CAG aliwahi sema wizi wa awamu ya 5 umepungua?

Mimi naishi Kwa shemeji yangu ndio maana miradi ya serikali imepunguza kipato chako 🤣🤣🤣🤣🤣
Basi tulia umsahidie dada yako kwa kutimiza mahitaji ya mme wake...tuachie sisi tunaojua kwamba huyu raisi tunapitishwa tu Jangwani mana kashindwa kila kitu.
 
Samia hapangi bei ya petrol ndugu mwananchi na pia hapangi umadhubuti wa dollar vs TZS. Unajadili mambo makubwa yaliyokuzidi kimo kimasikhara masikhara tuu.
 
Umeweka facts au machapisho ya kisiasa. Narudia tena hujawahi kuwa na akili. Hujui kutofautisha kati ya Facts na Machapisho ya kisiasa. Hakuna facts hata moja uliweka bali umeweka machapisho ya kisiasa yasiyokuwa na tija.
Élimu Akili Elimu Akili Elimu Akil
Wewe punguani facts au machapisho ya Kisiasa uliyiweka ni yapi? Onyesha basi.

Mwisho hizo facts zinatoka mdomoni kwako au zinachapishwa? 😁😁😁

Fala wewe huna akili Wala hoja
 
Baada ya kujengwa na Magufuli ujenzi ukamaluzika au?

Kwani yeye ni WA kwanza kujenga Dodoma?
Mshamba weye ,kuna mtu aliikumbuka Dodoma baada ya Baba wa Haifa hili kutoka madarakani ???
Magufuli kajenga barabara zote ile ya kondoa na barabara zote za mtaani,
Wakati wa Magufuli hakukuwa na felini mahospitalini Dodoma baada ya kuondoka eti leo unaweza enda makole na nyenginezo ukaganda mpaka ioni.
Tatu ujenzi wa mji wa kiserikali na usambazwaji wa umeme kwa takribani asilimia 70% sehemu ya Dodoma ni ina nishati ya umeme .
Pia aliifanya Dodoma kuwa na movements ya bidhaa na zikashuka thamani lakini leo hii mavitu yapo juu kutokana watu hawana mzunguko wa hela kutokana na watu hawana tema.
Chawa wewe hivi unadhani ni kazi rahisi sana kutushawishi sisi wana Dodoma ????
Naomba ujitathimini😣
 
No more comments, these are fact. Halafu kuna mtu utasikia umetumwa kumchafua. Ningependa hoja zijikite kunarrate kwa nini hoja zako sio sahihi kama ni suala la kukataa hoja
Magufuli anachomzidi Samia ni uuaji na ukatili tu!!
 
Hii ni kwa mujibu wa sheria kifungu cha ngapi? Vizazi visivyojua hesabu ni kazi sana (congruence & similarity) ni mhimu mno. Soma na upige kura yako

 
Back
Top Bottom