Ni kosa kumtongoza Mkuu wa Wilaya?

Ni kosa kumtongoza Mkuu wa Wilaya?

Jasusi Mbobezi

Senior Member
Joined
May 17, 2020
Posts
195
Reaction score
851
Katika pitapita zangu, nikajikuta wilaya ya Newala, nikiwa katika kijiwe kimoja cha bodaboda nikakuta kuna story ya mwaka juzi ambapo mkuu wa wilaya ya hapo ambaye kwasasa yuko wilaya ya Mbinga alimweka ndani kijana mmoja mwendesha bodaboda baada ya kijana huyo kumpigia simu na kuonesha kumhitaji kimahusiano (kumtongoza).

Naomba nijue kama kutongoza kiongozi ni kosa kisheria au hii imekaaje?View attachment 1955815View attachment 1955816
 
Katika pitapita zangu, nikajikuta wilaya ya Newala, nikiwa katika kijiwe kimoja cha boda boda nikakuta kuna story ya mwaka juzi ambapo mkuu wa wilaya ...
Aziza alivojiweka hata we ungemtongoza tu!

Alikosea sana angetaka angeishi kiheshima yeye mbona alikua anatoka na waume za watu au kwa kua kijaana huyooo hana hela (in makonde's voice).
 
Katika pitapita zangu, nikajikuta wilaya ya Newala, nikiwa katika kijiwe kimoja cha boda boda nikakuta kuna story ya mwaka juzi ambapo mkuu wa wilaya ya hapo ambaye kwasasa yuko wilaya ya Mbinga alimweka ndani kijana mmoja mwendesha bodaboda baada ya kijana huyo kumpigia simu na kuonesha kumhitaji kimahusiano (kumtongoza)

Naomba nijue kama kutongoza kiongozi ni kosa kisheria au hii imekaaje?
Bila picha ya mkuu wa wilaya husika story hainogi.
 
Bila picha ya mkuu wa wilaya husika story hainogi.
CHONGO huona KENGEZA mtu akishapenda

Zaidi seach google leo imetimiza miaka 23 tangu iazishwe
Screenshot_20210928-004451_Chrome.jpg
 
Katika pitapita zangu, nikajikuta wilaya ya Newala, nikiwa katika kijiwe kimoja cha boda boda nikakuta kuna story ya mwaka juzi ambapo mkuu wa wilaya ...
Sio Kosa ...baada ya kazi Kunywa Safari ikibidi Bapa Kubwa.
 
Back
Top Bottom