Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Mnazani kila mutu anatongozeka!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Mbunge Yule Kijana Wa Bagamoyo AkamtulizaSiyo kosa ni makubaliano either akatae au akubali.
Mkuu wa Wilaya ya Ruvuma ambaye ni mwanamke mwenzetu ameagiza wanawake wa Ruvuma kabla hawajafanya mapenzi na wanaume wawakague kwanza kujiridhisha kwamba wametahiriwa, ikiwa hawajatahiriwa wasitoe huduma ya mapenzi.Katika pitapita zangu, nikajikuta wilaya ya Newala, nikiwa katika kijiwe kimoja cha bodaboda nikakuta kuna story ya mwaka juzi ambapo mkuu wa wilaya ya hapo ambaye kwasasa yuko wilaya ya Mbinga alimweka ndani kijana mmoja mwendesha bodaboda baada ya kijana huyo kumpigia simu na kuonesha kumhitaji kimahusiano (kumtongoza).
Naomba nijue kama kutongoza kiongozi ni kosa kisheria au hii imekaaje?View attachment 1955815View attachment 1955816
Alijiwekaje, mkuu??Aziza alivojiweka hata we ungemtongoza tu!
Alikosea sana angetaka angeishi kiheshima yeye mbona alikua anatoka na waume za watu au kwa kua kijaana huyooo hana hela (in makonde's voice).
Ndio ni kosa kumtongoza chakula ya maboss wa nchi. Keki ya taifa hailiwi na kila raia.
Akikutunuku kula kwa machale. Mda wote uwe alert ikitokea lakutokea unafungua turbo 😂😂Akinitunuku je!? Bado nimkimbie? 😂😂😂
Akikutunuku kula kwa machale. Mda wote uwe alert ikitokea lakutokea unafungua turbo 😂😂
Ref. Babu Se..Hahahahaha unaweza kusingiziwa UMEMBAKA lol! Utambambikiwa kesi nyingine mbaya uozee lupango.
Bila Shaka Ni namna.Tatizo ni kutongoza au namna? Maana vijana wengine huko wanakuita kutongoza ni maneno ya kashfa tu. Wanawake wengi wangekuwa wanashare hizo "tongoza" zinazoingia kwenye simu zao, tungefungua chuo cha namna ya kutongoza!
Siyo kosa ni makubaliano either akatae au akubali.
Katika pitapita zangu, nikajikuta wilaya ya Newala, nikiwa katika kijiwe kimoja cha bodaboda nikakuta kuna story ya mwaka juzi ambapo mkuu wa wilaya ya hapo ambaye kwasasa yuko wilaya ya Mbinga alimweka ndani kijana mmoja mwendesha bodaboda baada ya kijana huyo kumpigia simu na kuonesha kumhitaji kimahusiano (kumtongoza).
Naomba nijue kama kutongoza kiongozi ni kosa kisheria au hii imekaaje?View attachment 1955815View attachment 1955816
Kumdhalilisha mheshimiwa! Unaweza kumtongoza mtu ukawa umemkosea. Mtu kama ana mme wake kumtongoza ni kumkosea heshima.Kumtongoza bosi kubwa.....
Sasa sisi tutajua anaye mme/mke......Kumdhalilisha mheshimiwa! Unaweza kumtongoza mtu ukawa umemkosea. Mtu kama ana mme wake kumtongoza ni kumkosea heshima.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]! Nimefurahishwa sana kwa comment yako mkuu.On serious note!
Mwanamke ukimtongoza na kama hajakupenda, atafanya chochote kile atachoona ni sahihi kwake
Ili mradi tu, aonyeshe wewe hukustahili kumpenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaa, nakuona mzee wa kupima kina cha maji......[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]! Nimefurahishwa sana kwa comment yako mkuu.
Kwa muktadha wa mtoa mada, huyo mkuu wa wilaya alitaka tu kuua soo.
Huyo kijana wa kijiweni alikosa mbinu za kuonana naye ana kwa ana akamwagia sera kijanja?
Angelitumia njia ya kujipendekeza kwanza hadi wazoeane na kuficha 'identity' yake ya u day worker, baadaye angelimg'oa kama kawa.
Mbinu za kutongoza huku ukipima upepo mbona zipo nyingi tu?
Njia ya kupiga simu aliyochagua siyo nzuri sana.
Unashitakiwa na kufungwa ama kupigwa faini.Katika pitapita zangu, nikajikuta wilaya ya Newala, nikiwa katika kijiwe kimoja cha bodaboda nikakuta kuna story ya mwaka juzi ambapo mkuu wa wilaya ya hapo ambaye kwasasa yuko wilaya ya Mbinga alimweka ndani kijana mmoja mwendesha bodaboda baada ya kijana huyo kumpigia simu na kuonesha kumhitaji kimahusiano (kumtongoza).
Naomba nijue kama kutongoza kiongozi ni kosa kisheria au hii imekaaje?View attachment 1955815View attachment 1955816
Kwaiyo we unatongoza tu kila umuonae mbele yako? Afrika mapenzi kweli tunaigaSasa sisi tutajua anaye mme/mke......
Ninatongoza yule ninayehitaji kumtongoza.....Kwaiyo we unatongoza tu kila umuonae mbele yako? Afrika mapenzi kweli tunaiga