Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Si kosa......narudia tena......wanawake wetu wa Kibongo hawajuwi kupendwa wala kupenda. Kwao kila kitu ni maigizo tu, utakuta demu yuko kwenye mahusiano/ndoa ila yuko radhi avunje ndoa yake kwenda kushinda kanisani kumfurahisha mchungaji, mwisho wa siku analiwa na chumvi bila kuchemshwa na kuachwa kwenye mataa na huyo mchungaji.Katika pitapita zangu, nikajikuta wilaya ya Newala, nikiwa katika kijiwe kimoja cha boda boda nikakuta kuna story ya mwaka juzi ambapo mkuu wa wilaya ya hapo ambaye kwasasa yuko wilaya ya Mbinga alimweka ndani kijana mmoja mwendesha bodaboda baada ya kijana huyo kumpigia simu na kuonesha kumhitaji kimahusiano (kumtongoza)
Naomba nijue kama kutongoza kiongozi ni kosa kisheria au hii imekaaje?