Jasusi Mbobezi
Senior Member
- May 17, 2020
- 195
- 851
Aziza alivojiweka hata we ungemtongoza tu!Katika pitapita zangu, nikajikuta wilaya ya Newala, nikiwa katika kijiwe kimoja cha boda boda nikakuta kuna story ya mwaka juzi ambapo mkuu wa wilaya ...
Bila picha ya mkuu wa wilaya husika story hainogi.Katika pitapita zangu, nikajikuta wilaya ya Newala, nikiwa katika kijiwe kimoja cha boda boda nikakuta kuna story ya mwaka juzi ambapo mkuu wa wilaya ya hapo ambaye kwasasa yuko wilaya ya Mbinga alimweka ndani kijana mmoja mwendesha bodaboda baada ya kijana huyo kumpigia simu na kuonesha kumhitaji kimahusiano (kumtongoza)
Naomba nijue kama kutongoza kiongozi ni kosa kisheria au hii imekaaje?
CHONGO huona KENGEZA mtu akishapendaBila picha ya mkuu wa wilaya husika story hainogi.
Sio Kosa ...baada ya kazi Kunywa Safari ikibidi Bapa Kubwa.Katika pitapita zangu, nikajikuta wilaya ya Newala, nikiwa katika kijiwe kimoja cha boda boda nikakuta kuna story ya mwaka juzi ambapo mkuu wa wilaya ...
Aliwekwa ndani kwa vile ni kapuku tu