Enter Passcode
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 479
- 942
Uwezo wa mahitaji muhimu upo, ishu ni kuzaa na binamuHongera sana bro! Umekuwa baba sasa, lea mtoto,Ishatokea hiyo.
Ni kosa kisheria,kumbuka wale kaka na dada wa shy town mmoja mvua 30,kaka mdogo mtu mvua 20.Wakuu
Ndugu yangu limemkuta (chovyachovya imemponza)
Walifanya siri ila leo dogo amezaliwa na wazazi hawajui( mama na mjomba)
Sasa nimeombwa ushauri, ila nmemwambia anipe mda maana maza namjua vzuri( hachekeshi)
Ushauri gani umfae kwa sasa?
Yawezekana ikawa kosa au sio kosa, kutegemea na njia iliyotumika kuzalishana kwao, kama ilifuatwa miongozo ya dini(kama ni waislam) kwa maana ya kufunga ndoa, hilo co kosa, lkn tofauti na hapo, ni Finaal Jhaanam.Wakuu
Ndugu yangu limemkuta (chovyachovya imemponza)
Walifanya siri ila leo dogo amezaliwa na wazazi hawajui( mama na mjomba)
Sasa nimeombwa ushauri, ila nmemwambia anipe mda maana maza namjua vzuri( hachekeshi)
Ushauri gani umfae kwa sasa?
HiimeendaNi kosa kisheria,kumbuka wale kaka na dada wa shy town mmoja mvua 30,kaka mdogo mtu mvua 20.
Binamu yako sio ndugu yako.Ni kosa kisheria,kumbuka wale kaka na dada wa shy town mmoja mvua 30,kaka mdogo mtu mvua 20.
Unaelewa maana ya ndugu wa damu wewe?Ni kosa kisheria,kumbuka wale kaka na dada wa shy town mmoja mvua 30,kaka mdogo mtu mvua 20.
Waarabu ndio zao. Wanaoana. Mi nina washikaji kkoo hapo bro kampa mwanae mtoto wa mdogo wake waoaneBinanu ni dada yako,kama umeweza kumfirimba dada yajo hata hako katoto kalikozaliwa utajafirimba,ww ni sweitani ibilisi pepo la uzinzi limekuvaa
Binamu yako ni mtoto wa shangazi yako, ubini wake sio sawa na wenu tayari yeye ni wa ukoo mwengine hivyo hata akibeba mimba haina shida maana sio damu yenu.Wakuu
Ndugu yangu limemkuta (chovyachovya imemponza)
Walifanya siri ila leo dogo amezaliwa na wazazi hawajui( mama na mjomba)
Sasa nimeombwa ushauri, ila nmemwambia anipe mda maana maza namjua vzuri( hachekeshi)
Ushauri gani umfae kwa sasa?
Wanawake wote Hawa unatembea na binamu yako?Wakuu
Ndugu yangu limemkuta (chovyachovya imemponza)
Walifanya siri ila leo dogo amezaliwa na wazazi hawajui( mama na mjomba)
Sasa nimeombwa ushauri, ila nmemwambia anipe mda maana maza namjua vzuri( hachekeshi)
Ushauri gani umfae kwa sasa?
Mbususu zimepanda vei wacha vijana wajipoze kwa binamuKwani ukisema ni wew kuna shida gani. Huu upwiru utawaua vijana... mnapenda cheap..
Sasa unaakili timamu inakuaje una mfirimba binamu?
Kila familia ya kiarabu na kihindiWaarabu ndio zao. Wanaoana. Mi nina washikaji kkoo hapo bro kampa mwanae mtoto wa mdogo wake waoane
SijakufahamuWakuu