Ni kosa kuzaa na binamu yako

Ni kosa kuzaa na binamu yako

Qur'an, 4:23:

"Mmeharimishiwa (kuwaoa) mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na mama wa kike wa baba zenu, na mama wa kike wa mama zenu, na mabinti wa kaka zenu, na mabinti wa dada zenu, na mama zenu wa kunyonyesha, na dada zenu kwa kunyonyesha, na mama wa wake zenu (wakwe zenu), na mabinti wa wake zenu mliowagusa (mlioingiliana nao) lakini ikiwa hamkuingia nao basi si vibaya kuwaoa, na wake wa watoto wenu wa kiume waliozaliwa kutokana na migongo yenu, na kuwaoa wake wawili walio ndugu kwa wakati mmoja - isipokuwa yaliyokwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu."

Qur'an, 4:23:
Kwa mujibu wa aya hii, watu ambao mwanamke au mwanamume hawezi kuwaoa (kwa sababu wao ni mahram) ni:

  1. Mama - Mwanamke hawezi kuolewa na mwanawe.
  2. Binti - Mtu hawezi kumuoa binti yake.
  3. Dada - Hawezi kumuoa dada yake.
  4. Shangazi (wa upande wa baba) - Mtu hawezi kumuoa shangazi yake.
  5. Shangazi (wa upande wa mama) - Hawezi kumuoa shangazi wa mama yake.
  6. Mwana wa kaka (mpwa wa kiume) - Huwezi kuolewa na mpwa wa kiume wa upande wa kaka.
  7. Mwana wa dada (mpwa wa kiume) - Huwezi kuolewa na mpwa wa kiume wa upande wa dada.
  8. Mama wa kunyonyesha - Katika Uislamu, uhusiano wa kunyonyesha unachukuliwa sawa na uhusiano wa damu, hivyo mwanamke aliyekunyonyesha ni mahram.
  9. Dada kwa kunyonyesha - Kama mlitoka kwa mama mmoja kwa kunyonyesha, basi hauruhusiwi kuoana.
  10. Mama wa mke wako - Mama mkwe ni haramu kumuoa.
  11. Mwanamke ambaye mwanaume ameingiliana na mama yake (wa kambo) - Kama mwanaume ameingiliana na mke wake na ana binti, hawezi kumuoa huyo binti wa kambo.
  12. Wake wa watoto wa kiume (mabinti wa watoto wa kiume) - Hawezi kumuoa mke wa mtoto wake wa kiume.
  13. Kuoa wake wawili walio ndugu kwa wakati mmoja - Uislamu unakataza kumuoa dada wawili kwa wakati mmoja.
Orodha hii inatoa muongozo wa wazi juu ya nani haruhusiwi kuoa kwa mujibu wa Qur'an. Watu hawa ni wale ambao wana uhusiano wa karibu wa kidamu au kifamilia (mahram), hivyo hawafai kuolewa au kuoana katika Uislamu.
 
Msiishie hapo sasa,ongeeni na wazazi mfunge ndoa muendelee kuishii....maisha yenyewe mafupi haya,msijipe stress maana kama kukosea mmekosea.Congo watu 200 na kitu wamekata moto na boat yao, utashangaa Kuna wengine wamekufa na upwiru wa miaka 😭😭
 
Madhara, kuoana kindugu ni kuzaa watoto matahira, au Matatizo ya kiafya. Kibaiokojia huwa tunavinasaba vizuri na vibaya, kutoka Kwa baba na mama, ikitokea kinasaba furani kutoka Kwa wazazi ni kimeo kuna kuwa hakuna jinsi tena.

Pia soma hapa chini UK inavyopata shidah

"Inbreeding is a huge problem in the British Muslim community. According to a recent study, 50% of Muslims in the UK (and a whopping 70% of Pakistanis) are inbred. The majority of disabled children in the UK are born to Muslim parents. This is because of marriage within the family"

View: https://x.com/RealBababanaras/status/1837840263240192059?t=ZWuh8iNKWVIdWg-rc5nWcg&s=19
 
Binamu yako ni mtoto wa shangazi yako, ubini wake sio sawa na wenu tayari yeye ni wa ukoo mwengine hivyo hata akibeba mimba haina shida maana sio damu yenu.

Lomoni zitakuwa nyingi tu toka kwa walimwengu ila kimsingi haina madhara. Mbaya ni kumpa mimba mtoto wa baba yako mkubwa au mdogo maana yule mnashea damu.
Samahani?we mpare?🫣🫣
 
Haya mambo upande wa Mashariki ya kati yalianza kitambo sana.

Ibrahimu alimuoa Mdogo wake(Sarah alikuwa mtoto wa Baba yake upande wa mwanamke Mwingine)

Isaac alioa mtoto wa Mjomba yake Nahori. Aliitwa Rebeka.

Yakobo nae alioa Watoto wa mjomba wake Lea na Rachel. Watoto wa Laban
 
Wakuu

Ndugu yangu limemkuta (chovyachovya imemponza)

Walifanya siri ila leo dogo amezaliwa na wazazi hawajui( mama na mjomba)

Sasa nimeombwa ushauri, ila nmemwambia anipe mda maana maza namjua vzuri( hachekeshi)

Ushauri gani umfae kwa sasa?
Hakuna tatizo lolote kabisa kuzaa na binamu, huyo Muoe kabisaa maisha yaendelee
 
Binamu kuoana ni mtizamo tu wa koo na jamii vinginevyo ,awambie wazazi watamaliza maadamu wasiendelee kufanya huo uchafu.
 
Hakuna tatizo lolote kabisa kuzaa na binamu, huyo Muoe kabisaa maisha yaendelee
Unafahamu kuwa kwa kufuata mgawanyo wa vinasaba vya wazazi kwenda kwa mtoto, nusu ya vinasaba vinatoka kwa mama na nusu vinatoka kwa baba?

Hii ina maanisha kuwa undugu uliopo kati ya watoto wa baba mkubwa na watoto wa baba mdogo ni sawa sawa na undugu uliopo kati ya watoto wa mama mkubwa na wale mama mdogo na pia ni sawa na undugu uliopo kati ya watoto wa mama na wale wa kaka yake (mjomba).

Kuoana mabinamu ni inbreeding, na huenda itapelekea kuwepo kwa matatizo fulani katika vizazi vitakayofuata ikiwa ni pamoja na magonjwa ya kurithi, ulemavu n.k.

Hata hivyo haimaanishi kuwa mabinamu hawatafunani. Wanakulana na wengine wameoana, lakini si sahihi kwa kufuata sayansi ya kijenetiki (genetics).
 
Wakuu

Ndugu yangu limemkuta (chovyachovya imemponza)

Walifanya siri ila leo dogo amezaliwa na wazazi hawajui( mama na mjomba)

Sasa nimeombwa ushauri, ila nmemwambia anipe mda maana maza namjua vzuri( hachekeshi)

Ushauri gani umfae kwa sasa?

Kwanza tuanzie hapa, kwan kadi la clinic baba wa mtoto aliandikwa nani

cheti cha kuzaliwa itakuaje

mwamba kakosea sana, angetangaza ndoa kuliko mapenzi ya kujificha.
 
Back
Top Bottom