donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 773
Habari ndugu zangu!
Mimi huwa nakubali mara nyingine tunaweza kuchanganya kiswahili na kiingeereza lakini kidogo tutumie jitihada neno BORE kulitamka sio BORE ni kama kutamka BOA sasa inakuaje tunatamka NIMEBOREKA? Jamani KUBOREKA ni kuwa bora kwa mimi binafsi naona bora tutumie NIMEBOEKA. Au jamani wenye mawazo tofauti tusaidiane.