Ni kuboeka au kuoreka?

Ni kuboeka au kuoreka?

donniebrasco

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
887
Reaction score
773
Habari ndugu zangu!
Mimi huwa nakubali mara nyingine tunaweza kuchanganya kiswahili na kiingeereza lakini kidogo tutumie jitihada neno BORE kulitamka sio BORE ni kama kutamka BOA sasa inakuaje tunatamka NIMEBOREKA? Jamani KUBOREKA ni kuwa bora kwa mimi binafsi naona bora tutumie NIMEBOEKA. Au jamani wenye mawazo tofauti tusaidiane.
 
Hakuna kiswahili sahihi cha kuboreka wala kuboeka izo ni direct translation tu kwa kiswahili sahihi ni kuchosha basi.
 
Habari ndugu zangu!
Mimi huwa nakubali mara nyingine tunaweza kuchanganya kiswahili na kiingeereza lakini kidogo tutumie jitihada neno BORE kulitamka sio BORE ni kama kutamka BOA sasa inakuaje tunatamka NIMEBOREKA? Jamani KUBOREKA ni kuwa bora kwa mimi binafsi naona bora tutumie NIMEBOEKA. Au jamani wenye mawazo tofauti tusaidiane.

Au tufanye NIMEBWEKA kabisa.
 
Neno sahihi kwa kuwa ndio hivyo tena linatumika ni Kuboreka.. Ingawa sio Kiswahili sanifu. Hili limetoholewa toka neno la kiingereza " to be bored"

Yaani "ndugu MziziMkavu, mwezio nimeboreka kweli"

Na yule anatekufanya uwe bored; tunatumia, "fulani, ama " donniebrasco kaniboa sana..."

Mwenye usahihi zaidi ya huu, na atuelimishe tafadhali...
 
Last edited by a moderator:

Unaweza kutumia neno la kuboreka lakini neno sahihi hapo Kuchoshwa na kitu sio kuboreka ni lugha mpya ya kiswahili tunaweza kusema ni kiswahili cha Slang. Sio kiswahili fasaha to bored ni mtu kuwa amechoshwa na kitu aidha kazi ,uhusiano wa kimapenzi,tabia za mtu na kadhalika.
 
Back
Top Bottom